Kwanini mtu akisugua sinia kwenye mchanga meno huwasha?

Nov 18, 2016
55
43
Hili limekaa kibaiolojia, kisaikolojia au kidentist zaidi. Je ni kwanini baadhi ya watu huwashwa ama kuumwa na meno iwapo sinia au kitu cha bati kikisuguliwa kwenye mchanga?

Natumai wataalamu humu watatupa mwanga.
 
Chunguza njia ya haja kubwa kuna vimchanga vipo.
Hali hiyo ya uwapo wa vimchanga huathiri njia ya kuingizia mlo.
 
Back
Top Bottom