Kwanini mtu akiomba simu anakimbilia kwenye faili ya picha?

Kuna wengine wanaingia kwa gia ya kutaka kuona picha flan au video mara paap yupo watsup unauliza kwann anasema anajitafuta ajitumie picha flan kaipenda humo kwenye simu,kumbe nia ni kusoma comments za watsup
 
Hahaa mwngne anataka aone picha moja,ila atafukunyua picha zote na mafile yote atamaliza
 
Hivi simu zinaazimwa? Siyo kama unaongea na ndugu halafu aliyekaribu anamfahamu ndo unasema hebu msalimie fulani? Enzi hizi kweli kuazimana simu?
Ni ile unakuta mmekaa,afu mtu anasema eh simu yangu imeishiwa credit niazime bas yako nimpigie /nimtext mtu mara moja,huo mda wa kuandka namba apige ye anaanza kupekua cm,akimaliza ndo anafanya alichotaka
 
Na hapo atakua anakuuliza maswali ya huyu nani anakaa wapi anafanya shughuli gani. Na ukute ni mtu unayemheshimu unashindwa hata kumnyang'anya simu
Hahaa mwngne anataka aone picha moja,ila atafukunyua picha zote na mafile yote atamaliza
 
Mm huwa namukiza unatama cm unataka kufungua wap akinitajia naweka Screen pinding ndio utakuwa umemaliza tatizo
 
Ni ile unakuta mmekaa,afu mtu anasema eh simu yangu imeishiwa credit niazime bas yako nimpigie /nimtext mtu mara moja,huo mda wa kuandka namba apige ye anaanza kupekua cm,akimaliza ndo anafanya alichotaka
Mhu kaa mbali na hao watu. Kama hana credit mwambie akufulie nguo au asafishe uwanja wako umpe pesa siyo simu.
 
Mimi ni mmoja wa wanaochukizwa na tabia hii mtu akiomba simu yako kwa matumizi yoyote yalekKabla ya hajatimiza tumia anaenda kwenye faili la picha.

Najua wengi tunachukizwa na tabia hii.Kwanini mtu akiomba simu ataingia katika faili la picha kwanza Kkbla ya kufanya chochote kile?
Ni ulimbukeni ulichanganyika na ushamba.
 
Mi ya wife huwa naangalia miamala...bad enough amebadilisha password kwisha habari yangu kifo cha mende
 
Watakuja kukutana na picha zngne hazfai,wengne sura zetu ni innocent kabisa ila yaliyomo simuni hata shetani anaogopa

Ila bora anaekimbilia photo kuliko anaekimbilia messages au whatsapp yan hawa ndo wanakera mara mia
Duuuh!! Kama umeniongelea, kilichopo kwenye simu yangu na Mimi nilivyo ni vitu viwili tofauti. Photo na SMS. Mungu nisamehe.
 
Ni katabia kabaya tu kamtu kushindwa kuelewa mambo kuwa hiyo ni simu ya mkoni nani ya mtu kwa matumizi binafsi maanake ina picha message namba za simu na kumbukumbu binafsi, na sio kwa matumizi ya kila mtu. Nawa sihii sana kama wewe ni moja ya hawa watu acha sio vizuri hii kitu ina kera sana sio lazima mtu akuambie. Ndio maana simu za wana ndoa ni kama kitunguu kila unaposhika simu ya mwenzako haiwezi kukuacha salama
 
Duuuh!! Kama umeniongelea, kilichopo kwenye simu yangu na Mimi nilivyo ni vitu viwili tofauti. Photo na SMS. Mungu nisamehe.
Haha mtu akishika simu yako atayokutana nayo inabidi akuangalie mara mbili
 
Back
Top Bottom