my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,390
Good morning tanzania. nna swali kwanini mtu ukiamka usngizin asubuhi mdomo unanuka? nini inasababsha mdomo kunuka asubuhi
mbona kabla ya kulala ukipga mswak ukiamka bado unanukachakula unachokula.kinabaki ktk ulimi
kwahyo watu wanaolala mdomo waz hawanuki mdomo asubuhi wakiamka?Ni kwa kuwa huruhusu hewa kutoka mdomoni ukiwa umelala, tofauti na mchana
mbna ukipiga mswak kabla ya kulala ucku ukiamka mdomo unanuka?Mkuu, kunuka kwa mdomo usababishwa na bakteria wanaomeng'enya na hatimaye kuozesha chakula ndani ya mdomo.
Unapokula chakula kuna kiasi kidogo ambacho ubakia ndani ya mdomo.
Bakteria wanaoishi ndani ya mdomo wanameng'enya mabaki hayo na kuzalisha products ambazo zinatoa harufu yenye kunuka(foul smell).
sayansi kimu ndo nn? sjakuelewaUmenikumbusha darasa la 4 somo la Sayansi kimu.
Umeanza ELIMU ya msingi Mwaka ganisayansi kimu ndo nn? sjakuelewa
Uchafu wa meno! Unakuta 99.9999% ya Watanzania hawajawahi kwenda kusafisha meno kwa madakitari. Na kibaya karibia 99.99999% ya watanzania hawajui jinsi ya kupiga mswaki.Good morning tanzania. nna swali kwanini mtu ukiamka usngizin asubuhi mdomo unanuka? nini inasababsha mdomo kunuka asubuhi
Lazima kutakuwa na kiasi kidogo cha mabaki ya chakula,ni ngumu sana kusafisha mdomo kwa 100%.mbna ukipiga mswak kabla ya kulala ucku ukiamka mdomo unanuka?
asante sanaLazima kutakuwa na kiasi kidogo cha mabaki ya chakula,ni ngumu sana kusafisha mdomo kwa 100%.
Pia ni vyema kupiga mswaki kila baada ya kula chakula na atleast mara 3 kwa siku.
Pia ulaji wa baadhi ya vyakula hasa vya protini mbogamboga mfano wa cabbage na vitunguu uchangia kwa kiasi kikubwa mdomo kunuka baada ya kuvunjwavunjwa na bakteria.
asanteHujapiga mswaki kabla ya kulala. Mimi napiga mswaki two times a day na wala sijawahi kunuka mdomo asubuhi. Lakini nisipopiga mswaki nitanuka. Hivyo Tunis dawa iliyothibitishwa na pia piga mswaki si chini ya dakika 5 kwa kuhakikisha maeneo muhimu umesafisha kwa usahihi, hasa ulimi. Watu wanasugua meno tu na kuacha ulimi ambao ndio source ya kunuka mdomo. Nenda kasafishe kinywa kwa madaktari wa meno atleast mara 2 kwa mwaka. Nadhani gharama zake haizidi 50,000
Ok,asante nawe.asante sana
Pia badilisha Mswaki kila baada ya miezi mitatu,sio unatumia Mswaki zaidi ya miezi sita!!!mbona kabla ya kulala ukipga mswak ukiamka bado unanuka