Kwanini Mtanzania haajiriki?

Undava King

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
3,181
5,289
Kwanini mtanzania hata awe amesoma vipi akipewa cheo au dhamana ya kuwa kiongozi mkubwa katika mashirika, makampuni au taasisi yeyote mara nyingi uboronga au kuishia kutimuliwa, kuitia kampuni hasara n.k?

Ukisikia watu au wawekezaji wanalalamika kuwa mtanzania aajiriki usikimbilie kigezo cha ubora wa elimu aliyosoma,ujuzi, uzoefu na kiingereza chake hivi ni sehemu tu kati ya zile sifa muhimu anazokosa mtanzania hili aweze kuajirika au kuaminiwa kukabidhiwa majukumu makubwa katika ngazi ya u-CEO, menejimenti, udhibiti,uongozi nakadhalika. Je, ni sababu gani hizo uwakwamisha watanzania?

Kutojiamini, mtu asiyejiamini ni mtu asiyejitambua bila shaka hamna mtu anayetaka kumwajiri mtu asiyejitambua, na asiye na uthubutu wala maamuzi thabiti bila shaka huu ni mzigo ambao hamna mwajiri yeyote atakayeuhitaji.

Uvivu,kutojituma na kufanya kazi kimazoea; kama kuna jambo linakera basi ni hili la watu kufanya kazi kivivu-vivu, ukishakuwa bosi wewe unachoangaikia ni ripoti tu nakuwafokea walio chini yako ambao hata mishahara yao unawacheleweshea kwa uvivu wako wa kutuma ripoti na taarifa zao kwa wakati.

Kukosa exposure, upeo mdogo, ubunifu na bad leadership, kutoheshimu mipaka ya mamlaka yako juu ya wengine na kutowajibika kwa walio chini yako na biashara kiujumla, wafanyakazi uwapi motisha wala kupokea ushauri na mapendekezo yao n.k

Nepotism na kumchukia mfanyakazi bora au anayekuzidi elimu au upeo kwa kigezo kuwa anajionesha hivyo ana-jeopardize cheo chako, Mfano; usishangae ukimwajiri mpare, msukuma au muhaya katika nafasi ya juu ukakuta ofisi nzima ni wao tu.

Kukata mirija ya manufaa kwa walioko chini yako mfano kudhulumu haki yao ya kuattend mafunzo,washa,semina, kulipwa malimbikizo na mianya mingine yakujipatia pesa ya ziada kwa walioko chini yako, cha zaidi unataka utafune pesa zote kama mchwa kisa wewe ndo huko menejimenti au kiongozi.

Kutokuwa na malengo na jicho la kuona kesho ya mradi au kampuni, hapa nitumie mfano wa mashirika ya kijamii au NGO's ambazo kiongozi anajua hapa mradi umebakisha mwaka au miezi ku-phase out yaani inakuwa ni sababu ya menejimenti kushindana kuiba na kufuja fedha za wafadhili ambao kimsingi uwakomoi, kutumia Mali za ofisi vibaya, kudhulumu wafanyakazi posho na mishahara yao,

kudhulumu na kupotezea walengwa au wananchi na wadau wa maendeleo waliowapush kwa kipindi chote cha mradi nakuhishia kupata picha mbaya kwa jamii na hati chafu ya mradi kutoendelea tena baada ya mfadhili kushtukia mchezo hivyo akiondoa imani yake kwenu kesho akaja na watu wake kuwaajiri usianze fyoko fyoko mara oh ajira zetu wanachukua wageni.

Kutokamilisha jambo moja likaisha au kutekeleza jambo kwa uhakika,ufanisi na kwa wakati stahiki, au kula mpaka pesa za uendeshaji mradi na kilichopaswa angalau kuwafikia walengwa kutowafikia hapa ndo unapokumbana na manung'uniko yale ya kipindi alipokuwepo mzungu mambo yalikuwa yanaenda sawa ila tokea akabidhiwe huyu mbongo mwenzetu hata hatujui kinachoendelea.

Kuridhika na tunachofahamu na kutotaka kujifunza zaidi au kujiendeleza kielimu au kwa kujisomea na badala yake kuendekeza tabia ambazo ni sumu kwa maendeleo ya kazi ikiwemo kupenda starehe, ngono, rushwa, pombe nakufikia hatua ya kuchanganya mapenzi na taaluma au kazi.

Sababu ni nyingi mno nitajaza servers bure cha msingi watanzania tubadilike tuache kujikuta wanyonge, wasio kuwa na uhakika, wazito, wanaotegemea kushikwa mkono,wenye kutia huruma kila tunapotafuta kazi au tukihitaji kuaminiwa kwa ajili ya majukumu fulani.

Basi mwajiri anakuwa anakuajiri tu kwa kuwa hana namna au ni sheria za nchi ndo zinamlazimu afanye hivyo, hivyo kama ambavyo nchi inatafuta kuaminiwa na investors vivyo hivyo na sisi tunajukumu la kuakikisha tunarejesha imani ya waajiri juu yetu.
 
Mtanzania haajiriki kwa sababu hakuna kampuni inayoweza kumfika bei; si unajua tena vitu rare & expensive!??? Wapi uliona Wamarekani wanachimba madini ya Tanzanite huko Texas ama Tennessee!??? Mbongo ana hadhi yake bhana!!!
 
Walimu wa hao ambao hawajiriki wakiwa vyuoni unawajua!?? Mfano wa walimu wa hao wasio ajirika ni "Bwashiru" sasa unategemea nn
 
Wakiwa vyuoni walimuwao ni mfano wa Benson Bana na Bashiru!!! Umeshawahi msikia Benson Bana akiwa anahojiwa UA kuzungumza na media!!! Yan huwezi mwelewa hata aongee masaa kumi
 
Kutojiamini, mtu asiyejiamini ni mtu asiyejitambua bila shaka hamna mtu anayetaka kumwajiri mtu asiyejitambua,
Huu ni uongo mkubwa sana. How do you tell apart a confident from an arrogant person? Hivi unajua kama kujiamini kuna umri na mipaka yake? Kuwagombeza wafanyakazi wako kwa lengo la kuwajengea uoga huko ni kujiamini?
 
Kwanini mtanzania hata awe amesoma vipi akipewa cheo au dhamana ya kuwa kiongozi mkubwa katika mashirika, makampuni au taasisi yeyote mara nyingi uboronga au kuishia kutimuliwa, kuitia kampuni hasara n.k?

Ukisikia watu au wawekezaji wanalalamika kuwa mtanzania aajiriki usikimbilie kigezo cha ubora wa elimu aliyosoma,ujuzi, uzoefu na kiingereza chake hivi ni sehemu tu kati ya zile sifa muhimu anazokosa mtanzania hili aweze kuajirika au kuaminiwa kukabidhiwa majukumu makubwa katika ngazi ya u-CEO, menejimenti, udhibiti,uongozi nakadhalika. Je, ni sababu gani hizo uwakwamisha watanzania?

Kutojiamini, mtu asiyejiamini ni mtu asiyejitambua bila shaka hamna mtu anayetaka kumwajiri mtu asiyejitambua, na asiye na uthubutu wala maamuzi thabiti bila shaka huu ni mzigo ambao hamna mwajiri yeyote atakayeuhitaji.

Uvivu,kutojituma na kufanya kazi kimazoea; kama kuna jambo linakera basi ni hili la watu kufanya kazi kivivu-vivu, ukishakuwa bosi wewe unachoangaikia ni ripoti tu nakuwafokea walio chini yako ambao hata mishahara yao unawacheleweshea kwa uvivu wako wa kutuma ripoti na taarifa zao kwa wakati.

Kukosa exposure, upeo mdogo, ubunifu na bad leadership, kutoheshimu mipaka ya mamlaka yako juu ya wengine na kutowajibika kwa walio chini yako na biashara kiujumla, wafanyakazi uwapi motisha wala kupokea ushauri na mapendekezo yao n.k

Nepotism na kumchukia mfanyakazi bora au anayekuzidi elimu au upeo kwa kigezo kuwa anajionesha hivyo ana-jeopardize cheo chako, Mfano; usishangae ukimwajiri mpare, msukuma au muhaya katika nafasi ya juu ukakuta ofisi nzima ni wao tu.

Kukata mirija ya manufaa kwa walioko chini yako mfano kudhulumu haki yao ya kuattend mafunzo,washa,semina, kulipwa malimbikizo na mianya mingine yakujipatia pesa ya ziada kwa walioko chini yako, cha zaidi unataka utafune pesa zote kama mchwa kisa wewe ndo huko menejimenti au kiongozi.

Kutokuwa na malengo na jicho la kuona kesho ya mradi au kampuni, hapa nitumie mfano wa mashirika ya kijamii au NGO's ambazo kiongozi anajua hapa mradi umebakisha mwaka au miezi ku-phase out yaani inakuwa ni sababu ya menejimenti kushindana kuiba na kufuja fedha za wafadhili ambao kimsingi uwakomoi, kutumia Mali za ofisi vibaya, kudhulumu wafanyakazi posho na mishahara yao,

kudhulumu na kupotezea walengwa au wananchi na wadau wa maendeleo waliowapush kwa kipindi chote cha mradi nakuhishia kupata picha mbaya kwa jamii na hati chafu ya mradi kutoendelea tena baada ya mfadhili kushtukia mchezo hivyo akiondoa imani yake kwenu kesho akaja na watu wake kuwaajiri usianze fyoko fyoko mara oh ajira zetu wanachukua wageni.

Kutokamilisha jambo moja likaisha au kutekeleza jambo kwa uhakika,ufanisi na kwa wakati stahiki, au kula mpaka pesa za uendeshaji mradi na kilichopaswa angalau kuwafikia walengwa kutowafikia hapa ndo unapokumbana na manung'uniko yale ya kipindi alipokuwepo mzungu mambo yalikuwa yanaenda sawa ila tokea akabidhiwe huyu mbongo mwenzetu hata hatujui kinachoendelea.

Kuridhika na tunachofahamu na kutotaka kujifunza zaidi au kujiendeleza kielimu au kwa kujisomea na badala yake kuendekeza tabia ambazo ni sumu kwa maendeleo ya kazi ikiwemo kupenda starehe, ngono, rushwa, pombe nakufikia hatua ya kuchanganya mapenzi na taaluma au kazi.

Sababu ni nyingi mno nitajaza servers bure cha msingi watanzania tubadilike tuache kujikuta wanyonge, wasio kuwa na uhakika, wazito, wanaotegemea kushikwa mkono,wenye kutia huruma kila tunapotafuta kazi au tukihitaji kuaminiwa kwa ajili ya majukumu fulani.

Basi mwajiri anakuwa anakuajiri tu kwa kuwa hana namna au ni sheria za nchi ndo zinamlazimu afanye hivyo, hivyo kama ambavyo nchi inatafuta kuaminiwa na investors vivyo hivyo na sisi tunajukumu la kuakikisha tunarejesha imani ya waajiri juu yetu.
hii topic nlitamani sana kuiandika sku moja ila kwa haraka haraka chanzo kikubwa cha watanzania kutoajirika ni kwa sababu tunakimbia exposure ya globalization na kujikinga na koti la serikali, ni watanzania wachache sana wapo competent na uchumi wa dunia, na ni wachache zaidi wenye skills znazohitajika kwenye hii dunia, whats it even worse ni kwamba kila anaemaliza shule akikosa ajira private sector anaenda kulilia serikali, kwa namna hii all other nations watakuja na kuchukua kila kitu cha tanzania

- whats even the worst ni kwamba kwenye kila mradi ama tuseme kuna kitu kimegundulika tanzania, watu cha kwanza wanawaza ajira zitakazopatikana pale badala ya kuwaza amount of wealth itapatikana apo''

- mfano mdogo, ugunduzi wa gesi mtwara the first solution ukiskiliza hoja za siasa haswa upinzani ni ajira, yaani upuuzi wa mwisho kabisa
 
Back
Top Bottom