Kwanini MSITU WA PANDE? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini MSITU WA PANDE?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Jun 28, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Si kipindi kirefu kilichopita tangu Msitu wa Pande utajwe kama sehemu ya kufanyia unyama.Wafanyabiashara watu waliuawa huko.Rejea kesi ailiyokuwa ikimkabili Kamanda Kombe.Ikadaiwa kuwa wafanyabiashara watatu wa madini waliburutwa hadi Msitu wa Pande na kupigwa risasi kama wanyama.Wakaaga dunia wakilengwa bila hatia wala huruma.Wakaishia hapo.

  Juzi pia,Msitu wa Pande ukatajwa tena.Safari hii ukihusishwa na 'kutupwa' kwa Dr.Stephen Ulimboka baada ya mateso na kipigo kikali.Yaweza kudhaniwa kuwa hapo pia yalipangwa mauaji.Msitu wa Pande. Kuna nini Msitu wa Pande?
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hivi kila mtu anasema Mabwepande wewe peke yako umeamua kuwa ni Pande.
   
 3. k

  kabindi JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ardhi yote Tanzania ni milki ya Serikali, hivyo Msitu wa PANDE ni mali ya Serikali.
   
Loading...