Kwanini msichana mwafrika akiishi Ulaya lazima awe mzuri mrefu tofauti na ambavyo angeishi sana Afrika?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,405
30,907
Fanya utafiti utagundua msichana wa kiafrika akikulia afrika anakuwa wakawaida ila akija ulaya au marekani anakuwa mzuri mno mnoo.
 
Anakuwa mrefu mzuri mwenye kiuno kizuri na HIPSI ila akikulia afrika hawi na hipsi kivileeee.
 
Chukua binti maskini toka afrika aliebalehe ukimpeleka ulaya lazima afanane na the most beautiful girl in one of the regions where u reside eg mtwara mbeya tanga Moshi etc
 
Back
Top Bottom