Wekeni basi picha jamani tujue kama ni kweliAnakuwa mrefu mzuri mwenye kiuno kizuri na HIPSI ila akikulia afrika hawi na hipsi kivileeee.
Wanawake Afrika wanashindana vitambiFanya utafiti utagundua msichana wa kiafrika akikulia afrika anakuwa wakawaida ila akija ulaya au marekani anakuwa mzuri mno mnoo.
Ni ibara ya ngapi ya Katiba mpya unayoijadili
wakati mwingine mods wanapata tabu saana.Katiba yetu imezaa kundi kubwa sana la watu tuliochanganyikiwa!!
Acha weweeee si vitako kama ndimu tu. Weka picha yake hapa uoneYehodaya koma kabisa yule ni mpare mwenzangu na ni mzuri haswaaaa labda hujawahi kumuona live.