Kwanini msichana mwafrika akiishi ulaya lazima awe mzuri mrefu na mwenye HIPSI tofauti na ambavyo angeishi sana afrika?

superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
4,932
2,000
Fanya utafiti utagundua msichana wa kiafrika akikulia afrika anakuwa wakawaida ila akija ulaya au marekani anakuwa mzuri mno mnoo.
 

superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
4,932
2,000
Anakuwa mrefu mzuri mwenye kiuno kizuri na HIPSI ila akikulia afrika hawi na hipsi kivileeee.
 

superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
4,932
2,000
Chukua binti maskini toka afrika aliebalehe ukimpeleka ulaya lazima afanane na the most beautiful girl in one of the regions where u reside eg mtwara mbeya tanga Moshi etc
 
Top Bottom