Kwanini Mshindane? Dunia ni kuubwa kutimiza ndoto ya kila mtu...

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,222
1,225
Kwanini mshindane mpaka kupeana makovu? Dunia ni kuuubwa kutimiza ndoto za kila mmoja...
Utakuta mwanafunzi mchoyo hata anaficha vitabu anavyosoma ili wenzake wasifaulu zaidi yake... Watu wamehangaika kuandika vitabu ili tuifanye dunia mahali pazuri pa kuishi, wewe waficha hata kile walichoandika au kugundua wenzako utadhani unataka kugundua chako...
Ofisini jamaa anatamani nafasi ya mwenzake mpaka anaweza hata kwenda kwa Kalumanzira, atafanya lolote ili huyo boss asiwe na hiyo nafasi tena na labda yeye aichukue. Utadhani ndio hicho tu anaweza fanya duniani...
Kwanini tushindane? Dunia ni kuubwa kuturuhusu wote wenye nia kutimiza ndoto zetu...
 
mabesela

JF-Expert Member
Mar 14, 2014
1,295
2,000

Sahihi sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom