Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

Nikuambie kwa uchache tu: hujui mengi kuhusu suala la bandari! Hujui kwa sababu endapo ungejua usingezungumzia suala la "mizigo ijae kwa sababu outlet mbovu!" Kwa kifupi, mkataba wa awali ilikuwa ujenzi wa reli uendane na bandari ili reli iwe na mzigo wa kupitisha, na sio kama ilivyo sasa ambapo hata Kenya SGR imeanza kuwatokea puani baada ya kujenga SGR wakati hawana mizigo na matokeo SGR inatumika sana for passenger transportation! Reli haiwezi ku-survive kwa kutegemea abiria!! That being said, a smart move haikuwa kuachana kabisa na bandari bali kuendelea na win-win negotiation! Huwezi kujenga SGR na kukategemea ka-inchi kadogo kama Rwanda!
Kwahiyo wewe unaona ni vizuri hiyo bandari ingejengwa kwa hayo masharti sio?
 
Mnakosea sana mnapompa Magufuli sifa hasizostaili. Nilisikitika sana juzi kwenye hotuba yake alpomlalamikia Waziri wa viwanda ndiye amesababisha Korosho zisinunuliwe. Angenyamaza tu
Hili tu ndo linakufanya uone hastahili kupewa sifa?
 
Mzazi akiwa na mali na kuhakikisha hazitumiki ovyo na familia yake huwa anachukiwa sana na wanafamilia na wengine hutamani afe ili wafaidi.
Akisha kufa, wanafamilia huishia kugombania mali na wakitumia zikaisha hubaki kilio na kusaga meno na ndipo hukumbuka mzazi aliyezalisha mali hizo na kumwona ni shujaa.
Sisi tunaolalamika sana kuhusu mfumo wa uchumi uliopo, majina yetu yatasaulika lakini jina la Mheshimiwa Rais Makufuli halitasahaulika kamwe kwa sababu yeye kuratibu na kusimamia shughuli zifuatazo za kimaendeleo.
1. fly overs .
2. Stiglers Gorge
3. SGR
4. Ondoa ufisadi
5. Serikali yenye uwezo wa Kifedha
6. Bandari za Kisasa
7. Meli za Kisasa
8. Elimu bure
9. Vituo vya afya
10. Vivuko vya kisasa kwenye mito/bahari
Mambo haya hata wazungu na Inchi za Kiafrika wanayakubali na wanatamani na Inchi zao ziige mfano wa Uongozi wa Rais wetu.
Mheshimwa Rais wetu ndugu Makufuli alipotembea INCHI za kusina mwa Afrika alikuwa kivutio kwa Wanainchi wa INCHI hizo.
Hakika nabii haheshimiki kwao.
Ninayeandika haya mambo ninaishi kwa shida kwa sababu ya mfumo huu wa uchumi, nashindwa kufanya biashara kama ilivyokuwa nafanya kwenye awamu ya nne, lakini nakubaliana na mfumo huu wa uchumi na kupongeza viongozi walioko madarakani kwa sababu wanafanya kitu kizuri na sahihi kwa manufaa mapana ya Kitaifa.
Wajibu wetu sasa ni kurudi kwenye Kilimo na Viwandani kuliko kila mtu kutafuta pesa ili afanye biashara uchwara.
 
nduguzanguni watanzania,msigombanie sifa,sifa hazilazimishwi bali huja naturaly tu
 
Hata kama bandari itakuwa yetu baada ya miaka mia kuna shida gani? Yaani watu watoe dola bilioni 8 kwa masharti rahisi rahisi
 
project ya bagamoyo ina karibia kufanana na ile ya Gwadar,pakistan ambayo bandari iko operated na chinese company kwa makubaliano ya miaka kadhaa,sijui sasa kama pakistani nayo imeuzwa china
 
Sasa haya kama hayadhibitiwi na katiba strong , basi tutegemee na huyu kuzolewa na wimbi la udhaifu wa kibinaadamu. Huo uliomzoa mtangulizi wake . Ambaye leo wala hamuwezi kumshtaki kisa katiba.

Shida ya Tanganyika ni viongozi kung'ang'ania katiba ya kulikoni na si ya wananchi .
Kulikuwa na biashara kichaa(msamiati wa mhe Dr Lyatonga Mrema) ya kubadilisha bidhaa muhimu yaani “barter method” mfano nipe mabasi ya abiri 10 nikupe kahawa, dhahabu, nipe mfungwa mmoja upate gesi na bandari bureee tena kwa miaka 150 ukanda wa pwani ni wako!!!
 
Hili huwa nawaambia humu kila siku kwamba mahusiano baina ya mataifa hayana cha undugu wala nini ila maslahi, nyie ndio mnapenda kuwaita Wachina na kila taifa ndugu zenu, mnafaa mfahamu linapokuja suala la kujadili/negotiations biashara baina ya mataifa huwa ni mwendo wa kununiana hadi mahesabu yaende ipasavyo, ndio baada ya hapo watu wote mnakenua meno na kunywa divai na mvinyo.

Lakini hili suala la Bagamoyo limefanya nimeona kweli CCM yenu haina huruma na nchi hiyo yenu, humo kuna watu wapo tayari kuimaliza nchi ibaki mahandaki na majivu ilmradi wao wapate 10%, nafahamu hakuna mfumo dunia hii ambao hauna mafisadi ndani yake, hata huku kwetu wapo tu, lakini sikutegemea Kikwete na watu wa CCM walifikia kwenye level ya kuachia mikataba kama hiyo ya kuimaliza nchi nje nje.
MK254, Tatizo la Tanganyika ni katiba inayowafanya ma Rais kuwa mamiunguwatu !!. Hawahojiwi na yeyote juu ya actions zao wawapo mamlakani au hata wakishatoka madarakani. Na hao hao ndiyo uendelea kutupangia nani wa kutuongoza na si wa kutuongoza !!. Ma Rais wa Tz ni mamiunguwatu

Kama si hivyo muswaada wa Gas na mafuta isingelazimishwa kupitishwa ilimradi anayetoka atoke ameshasaini na kuwa Sheria . Wapinzani walijitahidi hata kutumia nguvu bungeni , lakini waliishia kuitiwa police kuwaondoa ili muswaada upite. Na ile ilikuwa ni amri toka juu. Natamani tuwe na katiba kama ya S Korea , Brazil , France n.k. ili hawa watu wakitoka madarakani wawajibike kwa matendo yao ya aibu. Lakini hii tuliyonayo inalinda viongozi dhidi ya wananchi
 
wewe una fikira finyu sana..Kenya imepata katiba endelevu 2010.. ufisadi, Mikataba mibaya, mauahi ya kisiasa na mambo ya hovyo imezidi tawala zote tangu 1963..
Unafaa ulewe swala moja, Hata uwe na sheria nzuri vipi..Uongozi bora ni mtu binafsi kuamua kuongoza kwa maadili.
 
Kwa akili zako hizo, kwako unahusudu watu, lakini mimi nahusudu utawala bora kupitia taratibu nzuri. Hawa viongozi unaowaona kama strong people ni wanaadamu. Wanaishi na kupita. Wakipita na nyuma hakuna utaratibu mzuri wa kuongozana , then anayefuata huvuruga. Kwa sababu hana wa kumhoji . Viongozi wa ki Africa wanapopata mwanya wa kutokudhibitiwa hugeuka kuwa mamiunguwatu
 
Anapokosea tuna mlaumu akipatia tuna mpongeza, kwa bandari nampongeza tungepigwa
 
Kwa akili zako hizo, kwako unahusudu watu, lakini mimi nahusudu utawala bora kupitia taratibu nzuri. Hawa viongozi unaowaona kama strong people ni wanaadamu. Wanaishi na kupita. Wakipita na nyuma hakuna utaratibu mzuri wa kuongozana , then anayefuata huvuruga. Kwa sababu hana wa kumhoji . Viongozi wa ki Africa wanapopata mwanya wa kutokudhibitiwa hugeuka kuwa mamiunguwatu
Ukiangalia nchi zote zilizo endelea, Marekani, ufaransa, uingereza,china etc..
Hao hao mamiunguwatu ndio walichangia sana nchi kupiga hatua mbele aidha walikuwa wafalme ama waanzilishi wa philosophia fulani kama communism..
Lakini hao hao mamiunguwatu kama hitler walisababisha vifo vya wengi sana..Na hata leo baada ya marekani kutengeneza sheria nzuri kwa miaka 200, bado wanaona Trump akiwa dictator..
Maanake ni kwamba Leadership Matters, the personal ethics of a leader mattes more than laws and constitutions. Laws are lifeless until a leader uses them to either bring justice or moral decay
 
Atherere . Nchi zote ulizozitaja ukiondoa China inayoongozwa ki dictator , zingine hizo zina utaratibu mzuri wa kiuongozi . Na hata mabunge na mahakama zao zina nguvu ya kumdhibiti kiongozi yeyote wa juu anayetumia vibaya madaraka. Sasa hawa wa ki Africa chombo gani kinaweza kikawadhibiti ?!. Mabunge na mahakama zimetiwa mifukoni, kazi Yao ni kupokea order. Ndiyo maana bunge la Tz lililazimishwa kupitisha muswaada wa Gas na mafuta . Leo Maghufuli analia na what happened that time.

Mimi bado nasema katiba zetu hasa ya Tz inamfanya Rais aliye mamlakani kuwa mungu. Anachowaza na kufanya hakuna wa kuuliza. That's why ufisadi hauwezi kwisha. Anajua hata akiuza nchi humpereki kokote, mtabaki kulalamika tu.
 
kwanini unataka kujilinganisha na nchi ambazo zimekuwa nchi kwa miaka 1000's Hizo nchi hapo mwanzo mwanzo huko enzi za kale zilikuwa Kingdoms/ Hakuna democrasia...Sasa nchi za afrika ziki ruka stages fulani hadi kuwa democracy hapo ndipo shida inatokezea. Sababu mwafrika bado hajui democrasy ni nini..Anafikiria democracy aidha ni uhuru wa makabila kujitawala ama ni uhuru wa kudhalilisha nchi yako, kutukana na kukosea heshima..
uendelevu wa kuelewa democrasy ni kitu gani bado upo chini sana, yaani tunaelewa democracy kama vile wazungu waliewa miaka ya 1500's
 
Back
Top Bottom