Brown73
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 1,100
- 682
Kwahiyo wewe unaona ni vizuri hiyo bandari ingejengwa kwa hayo masharti sio?Nikuambie kwa uchache tu: hujui mengi kuhusu suala la bandari! Hujui kwa sababu endapo ungejua usingezungumzia suala la "mizigo ijae kwa sababu outlet mbovu!" Kwa kifupi, mkataba wa awali ilikuwa ujenzi wa reli uendane na bandari ili reli iwe na mzigo wa kupitisha, na sio kama ilivyo sasa ambapo hata Kenya SGR imeanza kuwatokea puani baada ya kujenga SGR wakati hawana mizigo na matokeo SGR inatumika sana for passenger transportation! Reli haiwezi ku-survive kwa kutegemea abiria!! That being said, a smart move haikuwa kuachana kabisa na bandari bali kuendelea na win-win negotiation! Huwezi kujenga SGR na kukategemea ka-inchi kadogo kama Rwanda!