tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,198
Ndio maana mirembe ikawa DODOMAHalafu unakuta jitu Kama Job Ndugai linaongea nini Sijui,
Duh kweli tunafikiria tofauti Sana,
Ndio maana mirembe ikawa DODOMAHalafu unakuta jitu Kama Job Ndugai linaongea nini Sijui,
Duh kweli tunafikiria tofauti Sana,
Ndio maana mirembe ikawa DODOMA
Mzee mtuenzie kikwete heshima yake usimfananishe na vitu ya kijinga. Yafaa umuombe radhiRais Akisema hatuhitaji kusikia upande wa pili,
Besides, Kikwete was not Different from Uhuru Kenyatta and William Ruto.
Hata ingekuwa wewe na kama una nianjema na mama Tanzania! Ingekuwahivyo! Jamani hii inji ilikuwa imeoza! Inabidi kuwa zaidi ya kichaa kurekebisha! Raisi wetu amejitoa muhanga kwa ajili yetu! Ni kama Yesu alivyojitoa pale msalabani tumuunge mkono kwa Hali na MaliAtalalamika na kulialia mpaka lini?
Unarekebisha nchi wakati unajenga international airport kijiji ulichozaliwa halafu unasema anarekebisha nchi?! Unarekebisha nchi huku unatumia mabilioni kujenga reli ambayo hujaipangia mikakati itabeba nini ndo unasema anarekebisha nchi? Wakulima wa korosho amewatia hasara, korosho zimerundikana kwenye maghala na msimu mpya wa korosho upo njiani halafu bila aibu unasema anarekebisha nchi?! Kuna wezi wakubwa walioitafuna hii nchi kama wanasiasa wa ngazi za juu! Zaidi ya kutupigia kelele kila siku kwamba hii nchi watu wameila sana, amemchukulia hatua mwanasiasa yupi? Mtu ameua sekta binafsi halafu bila aibu unakuja hapa na kudai anarekebisha nchi?!Hata ingekuwa wewe na kama una nianjema na mama Tanzania! Ingekuwahivyo! Jamani hii inji ilikuwa imeoza! Inabidi kuwa zaidi ya kichaa kurekebisha! Raisi wetu amejitoa muhanga kwa ajili yetu! Ni kama Yesu alivyojitoa pale msalabani tumuunge mkono kwa Hali na Mali
Nyie ni wanafiki tu magufuli huyu huyu alisema wachina wana mikopo mizuri na misaada isiyo na mashartiSpeech ya President Magufuli na wafanyabiashara kuhusu bandari Bagamoyo ilikuwa wazi na uchungu na mama Tanzania na rasilimali zake! Tumeshangaa upande mwingine wa arms of government hawakuwa hawalijuhi hili au walikuwa wanatumika na wachina! Tunamshukuru raisi wetu kwa Kushutikia hili mapema! Na kulifanyia kazi! Ni ukweli usiopingika wachina hawa siyo wale wa enzi ya Nyerere ! Hawa ni generation nyingine ni zaidi ya makabaila na mabeberu! Hivyo tuwe macho! Na kum support raisi wetu! Embu fikiria kama leo tungekuwa tumewapa wachina bandari ya bagamoyo ingekuwaje!
Viva Magufuli viva
Kwako Magufuli ni sawa na Yesu?Hata ingekuwa wewe na kama una nianjema na mama Tanzania! Ingekuwahivyo! Jamani hii inji ilikuwa imeoza! Inabidi kuwa zaidi ya kichaa kurekebisha! Raisi wetu amejitoa muhanga kwa ajili yetu! Ni kama Yesu alivyojitoa pale msalabani tumuunge mkono kwa Hali na Mali
Haijawahi kutokea nchi yoyote ikakubali masharti kama hayo, sio Afrika wala nje, masharti ya kikoloni kabisa, nchi ilikua imeuzwa, bado nashangaa Kikwete alikua kweli ameyakubali yote hayo.
Eti msiendeleze bandari yoyote kutokea Tanga hadi Mtwara, na mengine ya kiajabu ajabu ameyataja rais wenu. Kama kweli Kikwete anatazama hizi hotuba lazima anapata aibu sana.
Hii hadi tuwasklize wawekezaji, ni ngumu kumeza kama ilivyo.
Sasa nini kama si unafki ?! Yule jamaa alikuwa amebakiza miezi miwili tu ofisini astaafu !! Kwanini walikubali gas na mafuta yetu yaende kwa mkwara wa mtu anadondoka ?!. Labda walifikiri kizazi kimekomea kwao ?!
Ndipo niliposema tatizo letu ni katiba inayowafanya kuwa mamiunguwatu wasiopingwa.
Ndiyo hapo mjue kuwa Mchina hana cha msalie Mtume, yeye ni kutengeza himaya kama ile ya Roman Empire, Ottoman Empire, British empire yaani ni bepari mkuu wa dunia hata kushinda Russia, UK., Marekani, Japan, from extreme socialism/communism to extreme CAPITALISM!!!!
Nia njema kawa nayo sasa, wakati yote haya yakipitishwa alikuwa waziri.Hata ingekuwa wewe na kama una nianjema na mama Tanzania! Ingekuwahivyo! Jamani hii inji ilikuwa imeoza! Inabidi kuwa zaidi ya kichaa kurekebisha! Raisi wetu amejitoa muhanga kwa ajili yetu! Ni kama Yesu alivyojitoa pale msalabani tumuunge mkono kwa Hali na Mali
unaongelea bunge kama upande mwingine wa arms of government, right???hiki chombo ni miongoni mwa pillars of the state kwa nchi yetu,kama nguzo muhim ambayo inatakiwa kwa kushirikiana na mahakama na serikali kuhakikisha kwa namna yyte taifa halianguki kiuchumi,kijamii,kisiasa,kimaadili na kiutamaduni chombo hiki kupitia kiongozi wake kilitaka kulitumbukiza taifa kwenye kilindi kirefu ktk sakata hili la bagamoyo port,huenda alikuwa less informed lakin angefanya kushare secretly na wakubwa wenzie maana ana hiyo access kabla ya kuukubali huu mradi in publicSpeech ya President Magufuli na wafanyabiashara kuhusu bandari Bagamoyo ilikuwa wazi na uchungu na mama Tanzania na rasilimali zake! Tumeshangaa upande mwingine wa arms of government hawakuwa hawalijuhi hili au walikuwa wanatumika na wachina! Tunamshukuru raisi wetu kwa Kushutikia hili mapema! Na kulifanyia kazi! Ni ukweli usiopingika wachina hawa siyo wale wa enzi ya Nyerere ! Hawa ni generation nyingine ni zaidi ya makabaila na mabeberu! Hivyo tuwe macho! Na kum support raisi wetu! Embu fikiria kama leo tungekuwa tumewapa wachina bandari ya bagamoyo ingekuwaje!
Viva Magufuli viva
Nadhan ndio maana baada yake hakuna aliekua na imani nao ndio maana hata Magu alipita kwa shida sanaHili huwa nawaambia humu kila siku kwamba mahusiano baina ya mataifa hayana cha undugu wala nini ila maslahi, nyie ndio mnapenda kuwaita Wachina na kila taifa ndugu zenu, mnafaa mfahamu linapokuja suala la kujadili/negotiations biashara baina ya mataifa huwa ni mwendo wa kununiana hadi mahesabu yaende ipasavyo, ndio baada ya hapo watu wote mnakenua meno na kunywa divai na mvinyo.
Lakini hili suala la Bagamoyo limefanya nimeona kweli CCM yenu haina huruma na nchi hiyo yenu, humo kuna watu wapo tayari kuimaliza nchi ibaki mahandaki na majivu ilmradi wao wapate 10%, nafahamu hakuna mfumo dunia hii ambao hauna mafisadi ndani yake, hata huku kwetu wapo tu, lakini sikutegemea Kikwete na watu wa CCM walifikia kwenye level ya kuachia mikataba kama hiyo ya kuimaliza nchi nje nje.
Kolomije Call me J.Hata ingekuwa wewe na kama una nianjema na mama Tanzania! Ingekuwahivyo! Jamani hii inji ilikuwa imeoza! Inabidi kuwa zaidi ya kichaa kurekebisha! Raisi wetu amejitoa muhanga kwa ajili yetu! Ni kama Yesu alivyojitoa pale msalabani tumuunge mkono kwa Hali na Mali
Kwahiyo ulitaka aachilie bandari hiyo ijengwa kwa hayo masharti, mizigo ije kwa wingi Na ijazane hapo bandarini, ijae hadi mingine ioze kwa sababu njia za outlet ya mizigo ni ndogo na mbovu... Je utapata hao fanya bishara kweli kupitia hiyo bandariUnarekebisha nchi wakati unajenga international airport kijiji ulichozaliwa halafu unasema anarekebisha nchi?! Unarekebisha nchi huku unatumia mabilioni kujenga reli ambayo hujaipangia mikakati itabeba nini ndo unasema anarekebisha nchi? Wakulima wa korosho amewatia hasara, korosho zimerundikana kwenye maghala na msimu mpya wa korosho upo njiani halafu bila aibu unasema anarekebisha nchi?! Kuna wezi wakubwa walioitafuna hii nchi kama wanasiasa wa ngazi za juu! Zaidi ya kutupigia kelele kila siku kwamba hii nchi watu wameila sana, amemchukulia hatua mwanasiasa yupi? Mtu ameua sekta binafsi halafu bila aibu unakuja hapa na kudai anarekebisha nchi?!
Nikuambie kwa uchache tu: hujui mengi kuhusu suala la bandari! Hujui kwa sababu endapo ungejua usingezungumzia suala la "mizigo ijae kwa sababu outlet mbovu!" Kwa kifupi, mkataba wa awali ilikuwa ujenzi wa reli uendane na bandari ili reli iwe na mzigo wa kupitisha, na sio kama ilivyo sasa ambapo hata Kenya SGR imeanza kuwatokea puani baada ya kujenga SGR wakati hawana mizigo na matokeo SGR inatumika sana for passenger transportation! Reli haiwezi ku-survive kwa kutegemea abiria!! That being said, a smart move haikuwa kuachana kabisa na bandari bali kuendelea na win-win negotiation! Huwezi kujenga SGR na kukategemea ka-inchi kadogo kama Rwanda!Kwahiyo ulitaka aachilie bandari hiyo ijengwa kwa hayo masharti, mizigo ije kwa wingi Na ijazane hapo bandarini, ijae hadi mingine ioze kwa sababu njia za outlet ya mizigo ni ndogo na mbovu... Je utapata hao fanya bishara kweli kupitia hiyo bandari