Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

Speech ya President Magufuli na wafanyabiashara kuhusu bandari Bagamoyo ilikuwa wazi na uchungu na mama Tanzania na rasilimali zake!

Tumeshangaa upande mwingine wa arms of government hawakuwa hawalijuhi hili au walikuwa wanatumika na wachina! Tunamshukuru raisi wetu kwa Kushutikia hili mapema!

Na kulifanyia kazi! Ni ukweli usiopingika wachina hawa siyo wale wa enzi ya Nyerere ! Hawa ni generation nyingine ni zaidi ya makabaila na mabeberu! Hivyo tuwe macho!

Na kum support raisi wetu! Embu fikiria kama leo tungekuwa tumewapa wachina bandari ya bagamoyo ingekuwaje!
Viva Magufuli viva
 
Hata ingekuwa wewe na kama una nianjema na mama Tanzania! Ingekuwahivyo! Jamani hii inji ilikuwa imeoza! Inabidi kuwa zaidi ya kichaa kurekebisha! Raisi wetu amejitoa muhanga kwa ajili yetu! Ni kama Yesu alivyojitoa pale msalabani tumuunge mkono kwa Hali na Mali
Unarekebisha nchi wakati unajenga international airport kijiji ulichozaliwa halafu unasema anarekebisha nchi?! Unarekebisha nchi huku unatumia mabilioni kujenga reli ambayo hujaipangia mikakati itabeba nini ndo unasema anarekebisha nchi? Wakulima wa korosho amewatia hasara, korosho zimerundikana kwenye maghala na msimu mpya wa korosho upo njiani halafu bila aibu unasema anarekebisha nchi?! Kuna wezi wakubwa walioitafuna hii nchi kama wanasiasa wa ngazi za juu! Zaidi ya kutupigia kelele kila siku kwamba hii nchi watu wameila sana, amemchukulia hatua mwanasiasa yupi? Mtu ameua sekta binafsi halafu bila aibu unakuja hapa na kudai anarekebisha nchi?!
 
Speech ya President Magufuli na wafanyabiashara kuhusu bandari Bagamoyo ilikuwa wazi na uchungu na mama Tanzania na rasilimali zake! Tumeshangaa upande mwingine wa arms of government hawakuwa hawalijuhi hili au walikuwa wanatumika na wachina! Tunamshukuru raisi wetu kwa Kushutikia hili mapema! Na kulifanyia kazi! Ni ukweli usiopingika wachina hawa siyo wale wa enzi ya Nyerere ! Hawa ni generation nyingine ni zaidi ya makabaila na mabeberu! Hivyo tuwe macho! Na kum support raisi wetu! Embu fikiria kama leo tungekuwa tumewapa wachina bandari ya bagamoyo ingekuwaje!
Viva Magufuli viva
Nyie ni wanafiki tu magufuli huyu huyu alisema wachina wana mikopo mizuri na misaada isiyo na masharti
 
Hata ingekuwa wewe na kama una nianjema na mama Tanzania! Ingekuwahivyo! Jamani hii inji ilikuwa imeoza! Inabidi kuwa zaidi ya kichaa kurekebisha! Raisi wetu amejitoa muhanga kwa ajili yetu! Ni kama Yesu alivyojitoa pale msalabani tumuunge mkono kwa Hali na Mali
Kwako Magufuli ni sawa na Yesu?
Wewe hukuokotwa jalalani nadhani ni chooni kabisa, anastahili kukuita Zuzu kama mwenzio wa jalalani aliitwa Mpumbavu.
 
Haijawahi kutokea nchi yoyote ikakubali masharti kama hayo, sio Afrika wala nje, masharti ya kikoloni kabisa, nchi ilikua imeuzwa, bado nashangaa Kikwete alikua kweli ameyakubali yote hayo.

Eti msiendeleze bandari yoyote kutokea Tanga hadi Mtwara, na mengine ya kiajabu ajabu ameyataja rais wenu. Kama kweli Kikwete anatazama hizi hotuba lazima anapata aibu sana.
Hii hadi tuwasklize wawekezaji, ni ngumu kumeza kama ilivyo.

Ndiyo hapo mjue kuwa Mchina hana cha msalie Mtume, yeye ni kutengeza himaya kama ile ya Roman Empire, Ottoman Empire, British empire yaani ni bepari mkuu wa dunia hata kushinda Russia, UK., Marekani, Japan, from extreme socialism/communism to extreme CAPITALISM!!!!
 
hapo ndo huwa namkubali jk kwa mbinu na mikakati,anaweza kukwambia,"hamna shida we ponda tu,kwani nini bana,si tunataka mambo yaende vizuri"
 
Sasa nini kama si unafki ?! Yule jamaa alikuwa amebakiza miezi miwili tu ofisini astaafu !! Kwanini walikubali gas na mafuta yetu yaende kwa mkwara wa mtu anadondoka ?!. Labda walifikiri kizazi kimekomea kwao ?!

Ndipo niliposema tatizo letu ni katiba inayowafanya kuwa mamiunguwatu wasiopingwa.

Kulikuwa na biashara kichaa(msamiati wa mhe Dr Lyatonga Mrema) ya kubadilisha bidhaa muhimu yaani “barter method” mfano nipe mabasi ya abiri 10 nikupe kahawa, dhahabu, nipe mfungwa mmoja upate gesi na bandari bureee tena kwa miaka 150 ukanda wa pwani ni wako!!!
 
Ndiyo hapo mjue kuwa Mchina hana cha msalie Mtume, yeye ni kutengeza himaya kama ile ya Roman Empire, Ottoman Empire, British empire yaani ni bepari mkuu wa dunia hata kushinda Russia, UK., Marekani, Japan, from extreme socialism/communism to extreme CAPITALISM!!!!

Hili huwa nawaambia humu kila siku kwamba mahusiano baina ya mataifa hayana cha undugu wala nini ila maslahi, nyie ndio mnapenda kuwaita Wachina na kila taifa ndugu zenu, mnafaa mfahamu linapokuja suala la kujadili/negotiations biashara baina ya mataifa huwa ni mwendo wa kununiana hadi mahesabu yaende ipasavyo, ndio baada ya hapo watu wote mnakenua meno na kunywa divai na mvinyo.

Lakini hili suala la Bagamoyo limefanya nimeona kweli CCM yenu haina huruma na nchi hiyo yenu, humo kuna watu wapo tayari kuimaliza nchi ibaki mahandaki na majivu ilmradi wao wapate 10%, nafahamu hakuna mfumo dunia hii ambao hauna mafisadi ndani yake, hata huku kwetu wapo tu, lakini sikutegemea Kikwete na watu wa CCM walifikia kwenye level ya kuachia mikataba kama hiyo ya kuimaliza nchi nje nje.
 
Hata ingekuwa wewe na kama una nianjema na mama Tanzania! Ingekuwahivyo! Jamani hii inji ilikuwa imeoza! Inabidi kuwa zaidi ya kichaa kurekebisha! Raisi wetu amejitoa muhanga kwa ajili yetu! Ni kama Yesu alivyojitoa pale msalabani tumuunge mkono kwa Hali na Mali
Nia njema kawa nayo sasa, wakati yote haya yakipitishwa alikuwa waziri.
 
Speech ya President Magufuli na wafanyabiashara kuhusu bandari Bagamoyo ilikuwa wazi na uchungu na mama Tanzania na rasilimali zake! Tumeshangaa upande mwingine wa arms of government hawakuwa hawalijuhi hili au walikuwa wanatumika na wachina! Tunamshukuru raisi wetu kwa Kushutikia hili mapema! Na kulifanyia kazi! Ni ukweli usiopingika wachina hawa siyo wale wa enzi ya Nyerere ! Hawa ni generation nyingine ni zaidi ya makabaila na mabeberu! Hivyo tuwe macho! Na kum support raisi wetu! Embu fikiria kama leo tungekuwa tumewapa wachina bandari ya bagamoyo ingekuwaje!
Viva Magufuli viva
unaongelea bunge kama upande mwingine wa arms of government, right???hiki chombo ni miongoni mwa pillars of the state kwa nchi yetu,kama nguzo muhim ambayo inatakiwa kwa kushirikiana na mahakama na serikali kuhakikisha kwa namna yyte taifa halianguki kiuchumi,kijamii,kisiasa,kimaadili na kiutamaduni chombo hiki kupitia kiongozi wake kilitaka kulitumbukiza taifa kwenye kilindi kirefu ktk sakata hili la bagamoyo port,huenda alikuwa less informed lakin angefanya kushare secretly na wakubwa wenzie maana ana hiyo access kabla ya kuukubali huu mradi in public
 
Hili huwa nawaambia humu kila siku kwamba mahusiano baina ya mataifa hayana cha undugu wala nini ila maslahi, nyie ndio mnapenda kuwaita Wachina na kila taifa ndugu zenu, mnafaa mfahamu linapokuja suala la kujadili/negotiations biashara baina ya mataifa huwa ni mwendo wa kununiana hadi mahesabu yaende ipasavyo, ndio baada ya hapo watu wote mnakenua meno na kunywa divai na mvinyo.

Lakini hili suala la Bagamoyo limefanya nimeona kweli CCM yenu haina huruma na nchi hiyo yenu, humo kuna watu wapo tayari kuimaliza nchi ibaki mahandaki na majivu ilmradi wao wapate 10%, nafahamu hakuna mfumo dunia hii ambao hauna mafisadi ndani yake, hata huku kwetu wapo tu, lakini sikutegemea Kikwete na watu wa CCM walifikia kwenye level ya kuachia mikataba kama hiyo ya kuimaliza nchi nje nje.
Nadhan ndio maana baada yake hakuna aliekua na imani nao ndio maana hata Magu alipita kwa shida sana
 
Hata ingekuwa wewe na kama una nianjema na mama Tanzania! Ingekuwahivyo! Jamani hii inji ilikuwa imeoza! Inabidi kuwa zaidi ya kichaa kurekebisha! Raisi wetu amejitoa muhanga kwa ajili yetu! Ni kama Yesu alivyojitoa pale msalabani tumuunge mkono kwa Hali na Mali
Kolomije Call me J.
 
Unarekebisha nchi wakati unajenga international airport kijiji ulichozaliwa halafu unasema anarekebisha nchi?! Unarekebisha nchi huku unatumia mabilioni kujenga reli ambayo hujaipangia mikakati itabeba nini ndo unasema anarekebisha nchi? Wakulima wa korosho amewatia hasara, korosho zimerundikana kwenye maghala na msimu mpya wa korosho upo njiani halafu bila aibu unasema anarekebisha nchi?! Kuna wezi wakubwa walioitafuna hii nchi kama wanasiasa wa ngazi za juu! Zaidi ya kutupigia kelele kila siku kwamba hii nchi watu wameila sana, amemchukulia hatua mwanasiasa yupi? Mtu ameua sekta binafsi halafu bila aibu unakuja hapa na kudai anarekebisha nchi?!
Kwahiyo ulitaka aachilie bandari hiyo ijengwa kwa hayo masharti, mizigo ije kwa wingi Na ijazane hapo bandarini, ijae hadi mingine ioze kwa sababu njia za outlet ya mizigo ni ndogo na mbovu... Je utapata hao fanya bishara kweli kupitia hiyo bandari
 
Nikuambie kwa uchache tu: hujui mengi kuhusu suala la bandari! Hujui kwa sababu endapo ungejua usingezungumzia suala la "mizigo ijae kwa sababu outlet mbovu!" Kwa kifupi, mkataba wa awali ilikuwa ujenzi wa reli uendane na bandari ili reli iwe na mzigo wa kupitisha, na sio kama ilivyo sasa ambapo hata Kenya SGR imeanza kuwatokea puani baada ya kujenga SGR wakati hawana mizigo na matokeo SGR inatumika sana for passenger transportation! Reli haiwezi ku-survive kwa kutegemea abiria!! That being said, a smart move haikuwa kuachana kabisa na bandari bali kuendelea na win-win negotiation! Huwezi kujenga SGR na kukategemea ka-inchi kadogo kama Rwanda!
 
Back
Top Bottom