TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,050
- 3,302
Anaweza kufuta hata SAA hii akiamua BT umeshawai kujiuliza fidia ya kuwalipa hao majamaa au unaongea hapa ka mtoto mdogo..??? Tushukuru tu amewai hili LA bandari mungu yu mwema. Ila jk aseee daa mungu amsamehee aseee afu wanakuja watu wanasema tunakukumbuka babaaa.. Kua kichaa sio lazma uokote makopoHakuna kuchelewa hivyo ni visingizio kwani mwizi akikuibia redio yako na kufanikiwa kutoka nayo nje ya nyumba yako basi una haki na hiyo redio hapo nitamdharau magu akilifumbia macho swala LA gesi na mafuta