Kwanini mpaka sasa Mwigulu Nchemba hajajitokeza kuongea au kusalimu wahanga?

Donyongijape

JF-Expert Member
May 28, 2010
1,497
811
Wana Jf, I stand to be corrected.

Binafsi sijamsikia mahali popote kiongozi wa kampeni kwa upande wa CCM mkoani Arusha akitoa walau pole kwa wafiwa, majeruhi au kwa 'Watani' zake CHADEMA. Hii ina maanisha nini?..

Je ni uadui au chuki alivyonavyo kwa watani zake na hivyo kukaa kwake kimya ni kama anafurahia?.? Au ni nini hasa?. Confused.
 
Anajua alichokifanya,damu inamwagika kwa ajili yake.sidhani kama itajakaa akanyage arusha wanaweza mtafuna kama nyama
 
Yaani labda aje akiwa na Ulinzi wa jeshi likiongozwa na amiri jeshi mkuu la sivyo hataonekana hata kipande cha Nywele?
 
Jamani mliona ile picha kwenye 'Mwananchi' ikimwonesha Lukuvi akiongea na Nchimbi na Mwigulu mara tu baada ya kutoa tamko jinsi walivyokuwa wakionekana? Mwigulu alionesha kama mwenye mawazo mengi. Hayo ni mawazo yangu. Sijui wengine waliona nini?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wana dhambi hawa!!!Yeye na mtoto wa kufikia yaonekana ndio wahusika wakuu kwa upande wa chama katika hili game.,iweje wapotee ghafla baada ya mlipuko???Iweje mnafiki nepi azungumzie akiwa mbali kupima na kuusikilizia upepo kwa mbali??Chemba kimya hata pole kwa jamii ya wana Ars ulipokuwa umeweka kambi kwa majuma kadhaa?DAMU HIZI ZITAWALILIA MILELE NA MILELE,VIZAZI NA VIZAZI,AMIN.
 
Badala ya kupambana na huyu gaidi polisi wanahangaika na wananchi wasio na hatia. Nani asiyejua mwingulu ndie muuaji?
Hata magamba mkimkingia kifua mjue damu ya mtu sio maji. Lukuvi anatoa uppuzi wake bungeni halafu anamfuata mwingulu kujadiliana jinsi alivyoongea pumba. Every crime leaves a trace.
 
Anaogopa kivuli chake

Mwigulu sio mwanasiasa analazimisha tu na ndio maana hana ustaarabu, anajaribu kutafuta mahali kwa kujificha kuepuka nguvu ya umma ikitaka kujua kilichotokea BOT enzi za Blali.
 
Huyo ---- kwa nini hakamatwi? Jana nilisikia chizi mmoja akisema tunachunguza kauli yake!
 
Ajitokeze tena wakati kazi aliyotumwa kamaliza.. keshaua... na mshahara wake keshaweka kibindoni.. bila shaka anakula kuku kwa mrija sehemu fulani ya Nchi au hata nje ya nchi who knows... au ameenda china kuwapa ripoti ya kazi...
 
Hivi akiangalia zile picha za wanawake na watoto wamelala chini wengine hawana uhai na wengine wanavuja damu na maumivu makubwa anajisikiaje? Kama hajihisi kitu huyu ni zaidi ya fisi. Nimemsikia Nape akisema shambulizi lile limeandaliwa na Chadema wenyewe. Sawa tumemuelewa na watu wa Arusha wamemuelewa. Basi kama anajiamini kuwa alilosema kuwa ni la kweli na watu wamemuelewa aende yeye na Mwigulu bila ulinzi wowote akatembelee mitaa ya Arusha kwa miguu ili watu wawasalimie na kuwapongeza kwa kusema ukweli.
TAHADHARI; Wahakikishe wawe wameandika kabisa Wosia.
 
Kashamaliza kazi,kakimbilia bungeni kujificha,nasikia hata misele kwenye ma baa aendi tena..anaogopa kufa wakati yeye haogopi kuuwa..hata wakina shozag.mwampamba waliokuwa wanaropoka wamepotea hawaonekani mitaani.damu ni nzito kuliko maji.
 
Napata mashaka sana na naumia sana kuona chama kilicho undwa na watu makini kama wakina Mwl nyerere kawawa sokoine karume na watu makini wengne leo hii kuongozwa na watu kama Nape na Mwigulu watu wenye fikra mgando wasio watambuzi wa alama za nyakati wenye hurka mbovu za visasi chuki na jeuri watu wenye kujifanya wajuaji kwa kila jambo watu wasio na heshima na nidhamu kwa wakubwa wezi wa fikra za watanzania wenye kufanya siasa za uchochezi na migogoro.... jamani ndug zang wana CCM mnawadhalilisha wazi kabisa waasisi wa chama chenu lakin pia najiuliza mwenyekiti wa chama anafanya nn juu ya hili na amechukua hatua gani amewapima nn hadi amewapitisha na kukubali hawa jamaa kuwa hapo walipo jibu ni maneno ya mnyika juu ya huyu mwenyekiti na sasa ndio kukubali kua chama kinachotutawala kimepoteza uwezo kabisa pia sisiti hata kidogo kuyaamini maneno ya Mh myika kuwa Raisi kikwete ni mdhaifu na pia.Nayafananisha sasa haya maneno na yale ya Mwl nyerere katika kitabu chake cha "uongozi wetu na hatima ya Tanzania"Mwl alisema kua nukuu isiyo rasmi "Raisi Mwinyi ni mdhaifu" pamoja na madhaifu yote ya Mwinyi tusije tukafika mahali tukampata Raisi ajaye baada ya Mwinyi tukaona kuwa kwa Raisi Mwinyi tulikua peponi pamoja na madhaifu yote haya....hayo ni maneno ya mwl kwenye kitabu hcho lakini Mwl nyerere kwenye kitabu cha "Tujisahihishe"aliishauri serikali ya na chama cha mapinduzi kujisafishe na kubadili mfumo wa chama na serikali kitu ambacho CCM imeshindwa kufanya na hatimaye tumefika pale ambapo mwl nyerere alipatabiri tutafika kama CCM itapuuza maneno yake mimi naamini kua mwl angekua hai hadi leo hii asingesita kwenda CDM
 
Japokuwa Mwigulu ni kama shetani lakini nina uhakika huko aliko ile damu ya marehemu inamsuta vibaya sana na ipo siku tutasikia kafa kifo kibaya sana japokuwa hakuna kifo kizuri lakini kifo chake kitakuwa kibaya sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom