Kwanini mpaka sasa Mwigulu Nchemba hajajitokeza kuongea au kusalimu wahanga?

Jiulize mbona huku jamvini huwaoni Nape Mwigulu Mwampamba na Shonza imekuwaje toka 15/6/13 mko kimya?
Kubwa la maadui mwigulu U wapi sekretari wako mwampamba na shonza walipost kila hatua ya kampeni za uchaguzi wa wapi nao?
 
Wana Jf, I stand to be corrected.

Binafsi sijamsikia mahali popote kiongozi wa kampeni kwa upande wa CCM mkoani Arusha akitoa walau pole kwa wafiwa, majeruhi au kwa 'Watani' zake CHADEMA. Hii ina maanisha nini?..

Je ni uadui au chuki alivyonavyo kwa watani zake na hivyo kukaa kwake kimya ni kama anafurahia?.? Au ni nini hasa?. Confused.

Aliwaambia hawakumsikia!
Alisema wakikubali kwenda kwenye mikutano ya wapinzani au kuwapigia kura badala ya kuipigia CCM WATAKUFA TU...
Wameikataa mikutano ya CCM, sasa WAFE TU!
 
Anapanga tukio lingine huko akifikiri kuwa anakisaidia chama chake kumbe ndo anazidi kukipaka damu
 
Salam kwa Nape na Mwigulu Njemba. Mwogopeni Mungu.Hakuna hata mmoja aliyetumia mabavu kwa kumwaga damu za wasiokuwa ha hatia akabaki salama. Damu za watu zilizomwagika hakika hazitapotea bure. Ni suala la muda tu.Mungu ibarikia Tanzania
 
mwigulu hajajua kuwa kuwa hao aliowauwa watazikwa kwa heshima hata baada ya kuwapiga waombolezaji mabomu ya machozi. Yeye ataliwa na mbwa porini. Asifikiri atazikwa kama Mwangosi na wengine waliowauwa kisha watawale nchi. Mungu hatawapa hiyo zawadi kubwa namna hiyo. Wenye kumbukumbu watanikumbuka kwa hili! Tuendako miili yao itatupwa porini na mabaki yao yataliwa na fisi kama sii mbwa.
 
Wana Jf, I stand to be corrected.

Binafsi sijamsikia mahali popote kiongozi wa kampeni kwa upande wa CCM mkoani Arusha akitoa walau pole kwa wafiwa, majeruhi au kwa 'Watani' zake CHADEMA. Hii ina maanisha nini?..

Je ni uadui au chuki alivyonavyo kwa watani zake na hivyo kukaa kwake kimya ni kama anafurahia?.? Au ni nini hasa?. Confused.

Yumo humu na ID tofauti na ameanzisha thread zake za propaganda!!
 
Ndugu zangu haya yote yanatokana na woga wa watawala (Fear is the frightening thought that causes anxiety or worry. Fear gives you negative thoughts and reduces your self confidence. Fear must be present only while doing unwanted immoral actions and not for darkness or anything else. Fear is the first hindrance towards for all your actions. A coward is never appreciated but only made fun of by others. In contrast, one who is fearless to tread any path wins the appreciation and gains a lot of confidence and courage. Fear has the tendency to spread like wild fire and is also contagious. Hence, we should keep fear out. Fear increases the challenge and will not help to come out of the crisis. But when we try to analyze after a while, we see that it was highly silly to have developed fear for such trivial things and we try to scoff at it. “Fear is the lengthened shadow of ignorance. The first step towards wisdom is to conquer fear and remove it from our minds). So,let us be wise. tuwakumbushe wajibu wao ktk taifa hili cz taifa na maisha nizaidi ya chama na masirahi ya chama, kwani woga ni jambo baya sana kwa sababu mie huamini kuwa

I live somewhere between hope and fear. Hope that this time things will be different... and fear that it'll turn out like it has before. kwahiyo hata hawa wasio onekana sasa wakati walikuwa wakiomba kura muda wote ni woga umewaficha watanzania wenzangu. tupaze sauti tuhubiri kweli wa jambo hili na tuepuke propaganda za wachache zilizo jaa woga na uongo. ukweli utatuweka huru na kufikia lengo la taifa kwa Watanzania wote si wachache.
 
Toeni ujinga wenu hapa cdm mbona mnamsakama sana Mwigulu? Ninyi mmesahau kauli mlizokuwa mkitoa wakati wa kampeni mlidhani hakuna wa kuwajibu? Wanaochukia cdm c wana ccm peke yao na mtambue hata wa ccm pia wapo wanaoipenda cdm na cdm c wote wanaochukia ccm na cdm pia wapo wanaoipenda ccm. Nani alimuona Mwigulu kwenye mkutano wa cdm Arusha? Leo hii mnamtuhumu kuwa ameua, hata kama kauli zake zimepelekea kufanyika kwa haya mbona ninyi cdm ndio mnaongoza kwa kutoa kauli zenye kuchochea? Sasa vyombo vyetu vya ulinzi vikichukua tahadhali mnaleta ujuwaji wenu matokeo yake ndio haya. Tuchunge kauli zetu na kuheshimu mamlaka zilizopo.
 
Subirini uchunguzi ukamilike ndo tutoe lawama. Mbona mapema sana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom