Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

Apo mwendazake kwenda kwa muumba utakuwa umekosea ..huyu marehemu sidhani kama ameeleka huko ..atakuwa tu maeneo mengine anasubiri kwenda kuzimu. Huyu kwa muumba hana chake..
daaaah jf


Na kuhusu SASHA tumsamehe bure yeye mwenyewe alifichwa hadi akapangiwa na ziara za mikoani
 
Siishi Tz lakini nilipata taarifa za kifo chake Mzena Hospital tarehe 9 na aliyenipa taarifa pia yuko ughaibuni nchi tofauti na ninayoishi mimi, walijaribu kuficha lakini zilivuja japo at that point in time sikuziamini.
Mwenyewe nilijua toka tarehe 9
 
Imepoa sana, siku hizi hata uzinduzi hamna tena kama zamani.
Halafu ngosha kila siku alikua anatuaminisha kua tupo vitani, halafu anatusisitiza kua vita ya kiuchumi ni mbaya kwerikweri.
Mi nataka kujua hii vita tulishinda, tulishindwa au bado tuko fonti raini kwenye mapambo?
 
We jamaa ukikuwa Na mutual interests Na mzee baba umejaribu kujificha wee finally umeshindwa kabisa Na sasa unaonesha feeling zako wazi wazi, Muache SASHA yeye ndo dereva nao tu naelewa nyie wa ukanda ule mna Mfumo dume sana, Habari ndo iyo sasa samia ni Amiri Jeshi mkuu Na Rais
Kabisa
 
Back
Top Bottom