Kwanini mnawatania wasukuma?

riltz

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
232
83
Wakuu naomba kuuliza swali kwanini siku za karibuni utani kwa wasukuma kwenye mitandao a kijamii umekuwa mwingi???? maana nadhani hata ambao sio watani wa wasukuma nao wanawatania kinume na utaratibu wa matani hadi kwenye mambo a faragha eg. chooni nk naomba majibu matusi NO, NAWASILISHA
 
Jiulize kwanini miaka kumi iliyopit wakwere walitaniwa sana? Na miaka kumi kabla waChinga walitaniwa sana??
 
Wakuu naomba kuuliza swali kwanini siku za karibuni utani kwa wasukuma kwenye mitandao a kijamii umekuwa mwingi???? maana nadhani hata ambao sio watani wa wasukuma nao wanawatania kinume na utaratibu wa matani hadi kwenye mambo a faragha eg. chooni nk naomba majibu matusi NO, NAWASILISHA
Kwa sababu kwa ujumla wao ,wamemkata Lowasa
 
Wewe ndio unataka kukuza hayo mambo.

Ungekaa kimya wataniaji wasingekuja, ila umeanzisha subiri wakuwashie moto.

Mi binafsi nawashangaa wasukuma kutembea huku redia inapiga muziki kwa sauti ya juu hadi majirani wanakereka.

Sijui ni ushamba??
 
Bado zote hizo ni sababu dhaifu ukilinganisha na mchango wao katika jamhuri hii, hebu tuwe fair Mimi ni mtani wao ila sijapata guts za kuwatania kiivo ! Tafadhalia ambao CIO watani wao acheni Mara moko ! Hio folen ya chingas na kweres miaka 10 kumi nayo cio warant! Nawasilisha
 
QUOTE="kidadari, post: 15108037, member: 94840"]Kuna watu au makabila Tanzania yanafanya kila mbinu yatambulike na kupata umaarufu na yanashindwa ila Ndugu zetu Wasukuma wanapata umaarufu wa bure kwenye mitandao ya kijamii!

Picha nyingi zimesambaa mitandaoni kuonyesha kuwa Wasukuma ni washamba( Sio kweli kuwa ni washamba) kwa lengo LA kuchekesha, kufurahisha na kudumisha utani na umoja.
Wasukuma tuamke na kutumia hii fursa kuionyesha jamii ya Tanzania kuwa sisi sio washamba na tunaweza kufanya mambo makubwa na ya kijanja!

Miaka ya nyuma Wachagga hasa wa Kishumundu ndo waliaminika ni washamba sana halo iliyopelekea kila mtu akijitambulisha kuwa ni Mchagga automatically unaulizwa "WA KISHUMUNDU"?

Wanawake wa kichagga miguu yao yote ya kushoto, mara wana shepu kama kiroba! ma mengine mengi........Ila kwa sasa wachagga ni kabila linalojulikana sana Tanzania!
"Wahaya na majivuno Wapenda sifa'.

Tuuonyeshe umma wa Tanzania kuwa sisi ni wajanja na tunaweza kufanya vitu adimu! Tusilalamike, yapo makabila yanayotamani Umaarufu kama huu..[/QUOTE]
 
QUOTED="kupata, post: 15112320, member: 348250" Bhebhe omayu sisi Wasukuma wahedi ndo majembe wa taifa la Tz, kila kabila Tanzania wanatamani kuzaliwa usukumani kisa wapole, waungwana , wachapakazi, wakulima hodari na tena sio wabishi wakijinga ila tunapenda saaaana wanawake weupe hapoooo ndo unatupata tunahonga hela hata zizi zima la ng'ombe kwa mwanamke mweupe.... ndugu zetu wachaga walipogundua kwamba wanaume wa kisukuma wanapenda sana wanawake weupe basi akina mama wakichaga wakawa wanajilengesha kwa wanaume wakisukuma ona leo wasukuma wengi ambao ni vigogo serikalini wameoa wanawake wakichaga sasa nani mshamba hapo? lekaga nkoi! QUOTED ,,,,,,my take Nawaasihi utani huu sasa unapitiliza Tcra hawajalala atiii, shauri yenu!
 
image.jpg
image.jpg
 
Msukuma-tabia nzuri
Msukuma-mkulima
Msukuma-mfugaji
Almasi-usukumani
Pamba-usukumani
Dhahabu-usukumani
Samaki-usukumani
Ardhi nzuri-usukumani
Wasomi-usukumani
Biashara-msukuma
Waadilifu-wasukuma

Dogo hilo?sawa sawa!
 
Back
Top Bottom