Bora ulivyobadilisha statement ya mwanzo, you've written in a more polite way.

Kila mtu aheshimu status ya mwenzake, kuwa single parent sio ugonjwa wala ulemavu. Mtu alee watoto wake regardless.
Usijali 😊,Pole!
 
Usichonielewa mimi naanglia how kuepuka janga hili kwasababu si mnawasema mabinti wakionywa na kujitunza itasaidia,swali la kujiuliza je inasaidia?Jibu ni NO haisaidii na hali inazidi kuwa mbaya!

So inabidi strategic plan ibadilike kwasababu haisaidii mkiwaonya mabinti angali mwanaume haonywi wala hasemwi na wao wana mchango mkubwa katika janga hili!

Jingine wote wanawatakiwa wafundishwe pia jinsi ya kustarehe na kuepuka mimba sizisotarajiwa kama mwanaume umekutana na binti irresponsible chukua ww responsibility hakikisha shahawa zako hazisambai tu bure.Condom zipo za wanaume na wanawake.Uliza binti kama anatumia uzazi wa mpango.Au hata kama imetokea bahati mbaya umekojolea ndani mnunulie after night pill ale basi!

Hili la kuwasimanga wanawake halisaidii kitu mnaonesha udhaifu na upeo wa fikra mfupi.Kwasababu wanaume watie mimba watu,wakimbie majukumu,ikisha lawama wambebeshe mwanamke,hii sio haki!
"Jingine wote wanawatakiwa wafundishwe pia jinsi ya kustarehe na kuepuka mimba sizisotarajiwa"

Nimeku qoute hapo ..Unadhani elimu ya jinsia inatolewa kwa mwanamke peke ake ? Hata wakiume wanafundishwa pia mafundisho ya dini na wazazi vina play role kubwa kuelimisha wote

Je mimba zisizotarajiwa zimeisha ?

Ndo nikasema we angalia faida zako kama mwanamke achana na wanaume maana hapo solution iliyobaki ni juhudi zako binafsi ukiwa muelewa na mwenye msimamo hayo hayawezi kukuta vilevile hii ina applay kwa mwanaume vile vile

Ila tu wanazungumziwa wengi ni wanawake sababu wao wana athirika pakubwa

Na najua nyie mkikaza.hakuna kitu tunafanya kidogo hili litapungua mwanamke ana uwezo wa badilisha mambo kushape vitu vile atakavyo nyie mnaushawishi sisi wanaume tumejificha kwenye kichaka cha ego na vile jamii na dini inatu favour sasa kweli unataka ku reason na hii jinsia yetu ? Kwani hawajui kama wao pia ni wasababishi?

Sasa hiyo startegic plan

Ndo nikakwambia yaani angalia faida zako.. hili swala tunaangalia juhudi binafsi ya muhusika ana uelewa kuhusu haya. kuhusu mwanaume nae a share blame huko achana nako maana nyie ndio waathirika wakubwa
 
You had a whole week to think of writting this idiotism like seriously?🤔

Vizuri umejifunga kamba za miguu mwenyewe!Umesema sisi sio asexual well its true hatujizalishi so dont get over your head and get out of point,every part should take their damn responsibilty kama mnajua hatujizalishi!

And stop spinning the coin around,nyie mkiambiwa ukweli mnasikia???hizi kelele zako zote ni kama debe tupu hapa ni kithibitisho tosha!

Nimeleta uchungu wa kuzaa coz ur comparing a woman to an animal.
Are you confused dude?I think something must be seriously wrong with you!!
Mbona sasa mnaingea kingereza zaidi ...tunashindwa fuatilia mjadala kwa sie wa form two...wekeni kiswahili bana.
 
"Jingine wote wanawatakiwa wafundishwe pia jinsi ya kustarehe na kuepuka mimba sizisotarajiwa"

Nimeku qoute hapo ..Unadhani elimu ya jinsia inatolewa kwa mwanamke peke ake ? Hata wakiume wanafundishwa pia mafundisho ya dini na wazazi vina play role kubwa kuelimisha wote

Je mimba zisizotarajiwa zimeisha ?

Ndo nikasema we angalia faida zako kama mwanamke achana na wanaume maana hapo solution iliyobaki ni juhudi zako binafsi ukiwa muelewa na mwenye msimamo hayo hayawezi kukuta vilevile hii ina applay kwa mwanaume vile vile

Ila tu wanazungumziwa wengi ni wanawake sababu wao wana athirika pakubwa

Na najua nyie mkikaza.hakuna kitu tunafanya kidogo hili litapungua mwanamke ana uwezo wa badilisha mambo kushape vitu vile atakavyo nyie mnaushawishi sisi wanaume tumejificha kwenye kichaka cha ego na vile jamii na dini inatu favour sasa kweli unataka ku reason na hii jinsia yetu ? Kwani hawajui kama wao pia ni wasababishi?

Sasa hiyo startegic plan

Ndo nikakwambia yaani angalia faida zako.. hili swala tunaangalia juhudi binafsi ya muhusika ana uelewa kuhusu haya. kuhusu mwanaume nae a share blame huko achana nako maana nyie ndio waathirika wakubwa
Naamini mabadiliko yakianza kwa wanaume yatakuwa na impact kubwa zaidi kwasababu mwanaume ndo kichwa na ndio maana ningependa hilo lifanyike!

Yaani mkibadilisha mentality mtaona mabadiliko makubwa mno.

Siku zote ukiwa na tatizo unajaribu njia mmoja ukiona haisaidii unatakiwa ujaribu suluhu nyingine.Au chunguza chanzo cha tatizo ni nini na utaepuka vipi tatizo hilo lisijirudie!
 
Sita andika uzi nitoe povu langu.
Ngoja niseme hapa kwa uchache.

Single mother wengi hata wao hawajiamini hata kidogo,
Akijiangalia unakuta anajijua anatabia nyingi mbovu na bako kazalishwa,, so anaona ni ngumu sana kuja kupata mume mpya akaheshimika kwenye ndoa.
Wasi wasi anakua nao yeye mwenyewe

Pili wengi wao unakuta hakuna hata sababu za msingi za kuachana na mwanaume wake aliye mbebesha mtoto.

Kuna single mother nilimuuliza baba mtoto upo nae, akasema hapana toka nijifungue nimemchukia tu na simpend.

Nikabaki najiuliza hizi ni akili au bangi ?

Mwanamke mwenye tabia jema, hueshimika tu bila kujali, yani hata mwanaume mwingine akikupata atakua anamcheka na huyo aliyekuacha na kumuona mpumbavu.

Ukiwa na tabia mbovu na bado ni single mother yani utatukanwa sanaaaa.
Nakubaliana na ww sio watu wote ni sawa.
Kuna watu hawapaswi hata kuwa wazazi actually.

Mimi binafsi naamini kama hakuna mzazi anayependa kulea mtoto peke yake labda awe na matatizo ya akili au anajua fika malezi na mzazi mwenzie yataathiri maisha na makuzi ya mtoto.

Lakini all in all kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia.

Na si sawa kwa makosa ya wachache wanajumuishwa single mothers wote.

Isitoshe unajua kitu ukikipa negative impact kinakuwa worse,tuangalie na positive side na kuonya bila kuweka uzito upande mmoja tu,na bila dhihaka au matusi,haisaidii actually.
 
Unapatana na single mother, unamuuliza unapenda nini ?
Napenda mwanaume asiye na dhalau,mwenye heshima.
Uheshimiwe na huku hata wewe hujiheshimu na unatabia mbovu !!!

Aisee dhalau zipo nyumba yako zitakuangukia tu.
 
Usichonielewa mimi naanglia how kuepuka janga hili kwasababu si mnawasema mabinti wakionywa na kujitunza itasaidia,swali la kujiuliza je inasaidia?Jibu ni NO haisaidii na hali inazidi kuwa mbaya!

So inabidi strategic plan ibadilike kwasababu haisaidii mkiwaonya mabinti angali mwanaume haonywi wala hasemwi na wao wana mchango mkubwa katika janga hili!

Jingine wote wanawatakiwa wafundishwe pia jinsi ya kustarehe na kuepuka mimba sizisotarajiwa kama mwanaume umekutana na binti irresponsible chukua ww responsibility hakikisha shahawa zako hazisambai tu bure.Condom zipo za wanaume na wanawake.Uliza binti kama anatumia uzazi wa mpango.Au hata kama imetokea bahati mbaya umekojolea ndani mnunulie after night pill ale basi!

Hili la kuwasimanga wanawake halisaidii kitu mnaonesha udhaifu na upeo wa fikra mfupi.Kwasababu wanaume watie mimba watu,wakimbie majukumu,ikisha lawama wambebeshe mwanamke,hii sio haki!
Wanawake ndo wapo kwenye nafasi ya kupata mahangaiko zaidi pale inapotokea mimba za ovyo ovyo na ndo maana tunawaambia wajitunze, umewahi kusikia single father anakwenda ustawi wa jamii? Wanaoteseka zaid na matokeo ya kuwa single parent ndo wajitunze zaid maana ndo wanaumia zaidi.
 
Naamini mabadiliko yakianza kwa wanaume yatakuwa na impact kubwa zaidi kwasababu mwanaume ndo kichwa na ndio maana ningependa hilo lifanyike!

Yaani mkibadilisha mentality mtaona mabadiliko makubwa mno.

Siku zote ukiwa na tatizo unajaribu njia mmoja ukiona haisaidii unatakiwa ujaribu suluhu nyingine.Au chunguza chanzo cha tatizo ni nini na utaepuka vipi tatizo hilo lisijirudie!
Ni rahisi zaid kumfundisha mwanamke kuepuka ngono zembe kuliko mwanaume kwa sababu ya utofauti wao kijamii, kihisia na kimwili.
 
Bado tunarudi kule kule ma mkwe

Mnaoathirika kiasi kikubwa ni nyie sio sisi

Ndo maana mitigation cha kwanza kabisa inafanywa kwa ile factor yenye impact kubwa ambao ni nyie

So ukitaka startegic planing Anza ya kuwasaidia nyie
 
Ndo haifanyi kazi kwa kuwasema tu! Kwahio ww unataka mabadiliko ya vitendo kwa maneno?na nyinyi mbadilishe vitendo na mchangie kuleta mabadiliko!

Mabadiliko hayawezi kutokea kwa minadhili mnayoweka,yaani ni kama waste of time and energy kwa kweli!

Halafu nani mama mkwe?ushindwe na ulegee!
 
Ni rahisi zaid kumfundisha mwanamke kuepuka ngono zembe kuliko mwanaume kwa sababu ya utofauti wao kijamii, kihisia na kimwili.
Sijalielewa hili ni kwanini mnajitetea sana ikija kwenye uasherti au uzinzi?🙄
 
Sijalielewa hili ni kwanini mnajitetea sana ikija kwenye uasherti au uzinzi?
Unataka kulazimisha mambo, hakuna anayejitetea ila ndo ipo hivyo. Unadhan kwanin Mtume ameruhusu mwanaume kuoa wanawake wanne lakin mwanamke hajaruhusiwa? Kupingana na ukweli huo ni kujipa mateso na kutaka kujaribu kutafuta solution ambazo hazitasaidia.
 
Usiingize dini kwenye kitu ambacho hata dini inakataza!Kuna dini inaruhusu uzinzi na uasherati?Kama dini inakataza hilo basi wasizini wote na hukumu ni sawa kwa wote!Silazimishi kitu tatizo mnakimbia uhalisia ili mupate maslahi upande wenu!
 
Habari wanaJf, niingie kwenye mada straight. Hawa dada zetu na mama zetu kwa kila namna wanakila jinsi yakukiri makosa yao na kujifunza na kufunza wengine kuwa stiff heads haitawasaidia kitu.Nitatoa agenda yenye uzito wa kosa lao kubwa na hamna wa kulaumu zaidi yao wenyewe.

Either

Kama aliyekupa mimba/mtoto na ukakubali na ukagundua akufai kosa ni lako wala sio lake ulitakiwa kulijua ilo kabla ujakubali kuruhusu mimba kuingia au kuendelea naye, adi hapo umeshafail,

OR

Kama ni tatizo lako na kusababisha muhusika kukimbia ilo nalo tatizo ni lako hauna wakumlaumu kwa hizi sababu mbili tu zinatia mashaka maamuzi yenu ya mbeleni na misamamo yenu, ndio maana kumekuwa sitofahamu juu yenu.

USHAURI:-Rekebisheni hayo matatizo niliyoyasema hapo juu uenda janga la kuwa single mothers kupungua na sitofahamu. NI HAYO TU.
 
Back
Top Bottom