Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,683
- 93,422
Umeshindaacha uongo nimeishi Babati waislam ni wengi sana
Umeshindaacha uongo nimeishi Babati waislam ni wengi sana
Duh!Homa ya INI ndio inaua fasta
Sijasema Zanzibar inaongoza kwa maambukizi mimi ndiyo uniulizie takwimu,nilichokuwa nakipinga ni wewe kudai hakuna ukimwi ilhal watu tunajua Zanzibar ukimwi upo.lete takwimu za Ukimwi Zanzibar ndio inaongoza kwa maambukizi kidogo kupita sehemu zote
malori yanapak Makambako hayafiki Njombe Mjin wala MaketeBaridi kali sana inachangia ngono kufanyika.. Jamaa wanatumia k kuupa mwili joto.
Heavy trucks parking... Km mnavojua hapo ndpo yanaposimm malori toka mikoa tofaut kwenda/kutok nje ya nchi. Hvy madada zetu hujiachia na maderev pasipo kujali kinga wala nn.. Kufakunoga.. Iyo ndio slogan. Ya watu wa njombe, hawaogopi kifo
Kupima kwa wingi haiwezi kuwa sababu.Mm nimefanya kazi kwenye shirika la kupima watu afya. Katika mikoa ya nyanda za juu hakuna mkoa wenye watu wenye mwamko wa juu kupima afya, kama mkoa wa Njombe na ambao ni wawazi. Mfano kila kijiji tulichokuwa tunakwenda utakuta waliojitokeza ni wengi sana. Tofauti na mikoa mingine wengi waoga kupima afya zao. Mfano utakuta kijiji kinawakazi 500, wanaojitokeza kupima afya ni 20. Wakati vijiji vya wilaya ya Makete kinawakazi 300 wanaojitokeza kupima utakuta wapo 280. Sasa kwa uwiano huo lazima itaonekana mkoa wa Njombe unamaambukizi makubwa. Na kingine kinachochangia ni kuwa na Hosptal nyingi kubwa, ambapo wagonjwa wengi wanakwenda kule kutibiwa na kumbukumbu zao zinabaki kule.
Jibu ni kwamba..njombe wanabidii ya KUPIMA ukimwi..
Ila.kuhusu kugegedana tz nzima wanafanyana hasa pwanu aisee
Ila wangoni na wahaya Wanapepo la ngono
Takwimu zinaonyesha maambukizi njombe ni 14.8% na ndo mkoa unaoongoza. Sababu za maambukizi ya VVU kuwa juu ni:-
Moja, Biashara ya viazi mviringo. Biashara hii huwaleta wafanyabiashara na madereva, matingo wa malory, na makuli ambao hulala vijijini wakikusanya na kupakia viazi. Watu hawa kwa kuwa na fedha hufanya sana ngono zembe na wanawake wa vijijini.
Mbili, Tohara kwa wanaume haikwepo kwa Kabila la wabena, pangwa nk.
Tatu, idadi ya wanawake mabinti ni ndogo kulinganisha na wanaume. Mkoa huu nazani ndio unaoongoza kwa kutoa house girls wengi Tanzania. Hivyo unakuta mwanamke mmoja anagombaniwa na wanaume kumi na zaidi no way out.
Nne, Ulevi hasa kwa wanawake hasa njombe vijijini, na ludewa na makete pia.
Tano, house girls hurudi kwao na VVU na kwa uchache wa wanawake basi kila mwanaume kijijini ata mlala kwa uzuri wake.
Sita, uhaba wa kondomu vijijini. Maduka mengi vijijini hayauzi kondomu. Unaweza tafuta kondomu ludende siku nzima usiipate.
Saba, biashara ya mbao nk
Kwa sababu kuna baridiView attachment 461162
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia takwimu mbali mbali kupitia vyombo mbali mbali kuwa mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi na waathirika wa UKIMWI.
Swali langu ni la kidadisi(curiosity). Napenda kusikia toka kwa wataalamu na watafiti(kama tafiti zipo), kwanini isiwe majiji na mikoa mikubwa kama Dar, Mwanza, Mbeya n.k? Kama awali ilikuwa mkoa wa Kagera ndiyo ulioripotiwa mgonjwa wa kwanza na baadaye kuwa na waathirika wengi, ilikuwaje HIV iliruka mikoa ya hapo kati(Shinyanga, Tabora, Dodoma, Singida...) na kuufanya mkoa wa Njombe kuongoza?
Kama ni tohara kwa wanaume je, ni mikoa mingapi Tanzania hii walichelea kufanya tohara? Kwanini mikoa hiyo haijaathirika kiasi hicho? Japo kwa zamani(ninavyokumbuka) wilaya ya Makete(Njombe) ndiyo iliyokuwa ikiongoza na kwa sasa sina taarifa rasmi, bado ni jambo ambalo sina majibu yake, ilikuwaje mkoa wa Njombe uongoze kwa maambukizi?
Naomba wenye kufahamu majibu ya swali langu la msingi wanisaidie.
Kwanini Njombe?
Mhhh...acha urongo!Hata tabia za watu wanaotoka huko tunaziona huku mikoani, msitafute mchawi ilhali tabia za watu wa huko tunazijua
Niliwahi kumuuliza daktari flani wa njombe hili swali nilichoambiwa ni kuwa njombe kuna hospital kubwa kama ikonda hosp, bulongwa hosp, kibena hosp, ikelu hosp lugarawa na ilembula hosp. Zote ni hosptali kubwa sana hivyo watu wengi wanafika kupata matibabu huko kutoka sehemu mbalimbali na wakipimwa vvu takwimu zinasoma njombe kwakuwa watu wengi hawatoi taarifa sahihi wanatoka wapi... Ila sijui kama ndo uhalisia wenyewe
Nadhani hilo ndo ukweli ulivyoKuna ukweli kiasi katika hili, ila ngoma Njombe ipo, Iringa hasa Mufindi ipo. Njombe kwa idadi ya watu ukilinganisha na Hospitali zilizopo pale, ni rahisi kupata takwimu sahihi. Kumbukumbu zote zinaonyesha wadau wote ni wakazi wa Njombe.
Kuna habari nyingine isiyosemwa, watu wa Njombe wameitikia wito wa kupima afya zao kwa wingi na kwa hiari mpaka vijijini kuliko maeneo mengi hapa nchini. Zile kampeni za PIUMA ( pima uishi kwa Matumaini) zilifanya kazi sana Njombe. Na ukifika vijijini, waathirika wanajulikana na wanahudhuria clinic kwa uwazi.
Population ya Njombe ni ndogo sana. UKIMWI Njombe upo sawa na mikoa mingine ilivyo.
Mkuu hapo kwenye kuwaita watu wapime kwa lazima nakukatalia. Mm nna uzoefu mkubwa na Njombe.
Tatizo tu mzunguko Mdogo, kidemu kimoja mnaeza mkitandike mijeledi midume hata 20 kwa wiki. Awe mzr mzuri tu
Kwanini kuwe na hospital nyingi while population ni kidogo?Mm nimefanya kazi kwenye shirika la kupima watu afya. Katika mikoa ya nyanda za juu hakuna mkoa wenye watu wenye mwamko wa juu kupima afya, kama mkoa wa Njombe na ambao ni wawazi. Mfano kila kijiji tulichokuwa tunakwenda utakuta waliojitokeza ni wengi sana. Tofauti na mikoa mingine wengi waoga kupima afya zao. Mfano utakuta kijiji kinawakazi 500, wanaojitokeza kupima afya ni 20. Wakati vijiji vya wilaya ya Makete kinawakazi 300 wanaojitokeza kupima utakuta wapo 280. Sasa kwa uwiano huo lazima itaonekana mkoa wa Njombe unamaambukizi makubwa. Na kingine kinachochangia ni kuwa na Hosptal nyingi kubwa, ambapo wagonjwa wengi wanakwenda kule kutibiwa na kumbukumbu zao zinabaki kule.