Kwanini mkiwa wajawazito mnakuwa hivi?

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
Baadhi ya wanawake wakiwa wajawazito wanabadilika. Wife ujauzito wa kwanza alikua anataka muda mwingi anione. Kwa sasa ana ingine ila ananiponda mpaka namwambia au hiyo siyo yangu?hata niogeje utasikia unanuka.

Kunipa misosi ameongeza kipimo cha kunijali.Hivi nyie kina mama mnaigizaga au mnayofanya mnamaanisha???
 
Kuishi na mke akiwa mjamzito Ni kazi sana
Wakwangu kila siku mara naumwa hiki mara kile
Mara na hamu na nyama choma ukileta anadonoa anacha
Mara sijisiki kufanya chochote
Mara nikifua naumwa
Mara Nikisugua miguu sifikii
Mara we mbishi
Mara leta mkono mtoto kacheza Sasa ivi
Mara Nipikie nkipika Mimi sitamani kula
Mara Kila saa kunywa fruto
N.K...............
 
Baadhi ya wanawake wakiwa wajawazito wanabadilika.Wife ujauzito wa kwanza alikua anataka mda mwingi anione.Kwa sasa ana ingine ila ananiponda mpaka namwambia au hiyo siyo yangu?hata niogeje utasikia unanuka.Kunipa misosi ameongeza kipimo cha kunijali.Hivi nyie kina mama mnaigizaga au mnayofanya mnamaanisha???
Unajua ni Hali huwa inawatokea hiyo kawaida wal sio mdhaha
 
Baadhi ya wanawake wakiwa wajawazito wanabadilika.Wife ujauzito wa kwanza alikua anataka mda mwingi anione.Kwa sasa ana ingine ila ananiponda mpaka namwambia au hiyo siyo yangu?hata niogeje utasikia unanuka.Kunipa misosi ameongeza kipimo cha kunijali.Hivi nyie kina mama mnaigizaga au mnayofanya mnamaanisha???
Uwe na moyo mkuu hawa viumbe wanamapito mengi sana mungu awape uvumilivu ila mpende sana mkeo
 
Kuishi na mke akiwa mjamzito Ni kazi sana
Wakwangu kila siku mara naumwa hiki mara kile
Mara na hamu na nyama choma ukileta anadonoa anacha
Mara sijisiki kufanya chochote
Mara nikifua naumwa
Nakisugue miguu sifikii
Mara we mbishi
Nipikie nkipika Mimi sitamani kula
Kila saa kunywa fruto
Hapo kwenye fruto umeniacha hoi
 
Kuishi na mke akiwa mjamzito Ni kazi sana
Wakwangu kila siku mara naumwa hiki mara kile
Mara na hamu na nyama choma ukileta anadonoa anacha
Mara sijisiki kufanya chochote
Mara nikifua naumwa
Nakisugue miguu sifikii
Mara we mbishi
Nipikie nkipika Mimi sitamani kula
Kila saa kunywa fruto

Hayo yote ni maigizo ya huko huko mjini, wamekuwa wakifundishana na kupania... sikuwahi kuyasikia vijijini!
 
Kuishi na mke akiwa mjamzito Ni kazi sana
Wakwangu kila siku mara naumwa hiki mara kile
Mara na hamu na nyama choma ukileta anadonoa anacha
Mara sijisiki kufanya chochote
Mara nikifua naumwa
Nakisugue miguu sifikii
Mara we mbishi
Nipikie nkipika Mimi sitamani kula
Kila saa kunywa fruto
Ila raha sana aisee na vitumbo vyao + hivyo vituko aisee wakuu naona mnapata burdaani sanaa ...
 
Naunga mkono.angalia wanao zalia makwao mbwembwe izo hakuna
Mkuu zipo hakyanani kuna jamaa yangu yeye wa kwake daily alikuwa anataka maji ya limao pamoja na matango kila sikuuuuu jamaa aliwekesha order ya hivyo vitu , na bado sasa mambo mambo mengine ya mimba duh jamaa alikonda mbali ya kuwa binti alikuwa kwao.
 
Nilikuwa siamini mpaka nlipotafuna mabarafu mwanzo wa mimba mpaka mwisho

mvumilie yanayowezekana yasiyowezekana mpotezee

Ila kwenye harufu inatesa sana basi tu
pole sister
kutafuna barafu au kumumusa/kunyonya?
mm wangu alinitesa sana kwa mtoto wa pili nilifua kila kitu na kupika (msiniulize nilifua nini)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom