Kwanini Mkenya haweza kula na kunywa bila kuitaja Tanzania?

Kenyan economy looks bigger because of the value of the currency. But if you have to compare house by house, road by road, bridge by bridge, school by school, etc, you will realize how richer is Tanzania compared to Kenya.
It looks bigger, almost double coz ya currency... I see Hii research uliifanya lini? Naona wewe ni economist moto
 
Ukipita forums mbalimbali utakuta mkenya anaitaja Tanzania tena kwa mabaya ili waonekane kwao hakuna mabaya Wakati yapo chungu mzima, Ukipita forums zingine unakuta kaitaja Tanzania hata sehemu ambayo Tanzania haihusiki ili mradi tu yeye ajisafishe, na wakiambiwa huwa hawabishana kwa fact zaidi ya kuja na maneno eti tunawaonea wivu sijui nn na nn.
Kwanini msipambane na mambo yanayoendelea nchini kwenu? Au hamyaoni? Au mnatafuta pa kuondolea stress? TOENI BORITI JICHONI MWENU KABLA HAMJATOA KWA MWENZENU.
au kuna mahali mmeandikiwa mnashindana na Tanzania?
Au ndo ile mlikaririshwa Tanzanian ni wapole so mnaeza waongelea ubaya wowote, alafu mkijibiwa ndo mnaanza maneno yale yale mabaya, Badilikeni Kenyans.
Nadhani were in mgeni jf kwa sababu ulichoandika ni kinyume chake 100%.
 
Nafikiri Kenya kuna kitu mnatakiwa kufanya, Ukiangalia watu wachache wanamiliki uchumi wenu,Pamoja na maendeleo mliyonayo bado sehemu kubwa ya waKenya ni masikini, Mnanufaikaje na uchumi wa Kati( wa kwenye makaratasi).Shurti mustakabali wa ukubwa wa uchumi uwafikie mifukoni mwenu wote mpaka Kibera slums apartments.
 
Look at you pointing fingures
5-Africa-9e0a.jpg
 
Unasema upuzi gani, uchumi wa dollar bilioni mia moja ndio umejichokea?
Ile sio uchumi,ile huitwa gdp,wala si kitu ni ujinga flani kwa watu wazembe kama nyie wakenya

Nenda kaangalie gdp ya china na canada,then kaangalie watu wanavyoishi china na canada
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kujibiwa? SGR ya kenya is fully functioning, inabeba cargo mostly then abiria, ukisoma thread hapa watu wanalia sijui investment mbaya, yet we have one na none in TZ. Wanalia sijui KQ imefanya nini, yet TZ you have no carrier, niliona post ati wachina wanatembea koloni lao Kenya, yet TZ ni tourism, sijui kenya kuna poverty yet TZ has a higher % living in extreme poverty than Kenya. Unajua mnaishi in a state of self denial kujaribu kuangalia negatives za kenya ndio msikie mmefika ama mko pazuri.
"TZ you have no carrier," hiki ndiyo mtoa mada anakiongelea na wewe ume confirm hapa. Kenyans mko arrogant sana, mnapenda kuichafua Tz kwa vitu ambavyo havipo. No wonder kuna watu humu Tz SGR ujenzi uko over 50% ila bado wanasema ata zero km haijajengwa.
 
Bilioni mia moja ipo wapi Tony254, acha kujiaibisha, hata kukarabati reli ya zamani mnaomba mkopo, kazi ya hiyo bilioni mia moja ni IPI?
1) Tunajenga SGR $3.9B
2)Rufiji dam $3B
3) Dar - Kibaha Super high way $180M
4)ATCL planes $800M
Just few to mention, huo ndio maana ya uchumi mkubwa, sio theoretic economy.
Sawa mzee
 
"TZ you have no carrier," hiki ndiyo mtoa mada anakiongelea na wewe ume confirm hapa. Kenyans mko arrogant sana, mnapenda kuichafua Tz kwa vitu ambavyo havipo. No wonder kuna watu humu Tz SGR ujenzi uko over 50% ila bado wanasema ata zero km haijajengwa.
Haya basi mko na Air Tanzania, wings of Kilimanjaro. A very big airline. Your national carrier mlinunua ndie you fit in msiachwe na akina rwanda.
 
Haya basi mko na Air Tanzania, wings of Kilimanjaro. A very big airline. Your national carrier mlinunua ndie you fit in msiachwe na akina rwanda.
Ulijitahidi kuficha makucha yako (ujinga) ila mwisho wa siku unga umezidi maji.
 
Machoko awa wanamambo ya battle kama wadada.sizipendagi mada zao za kujisifu kwa reference za uongo
 
Wimbo wa tutaipiku Kenya hebu waulize kina Geza Ulole joto la jiwe mkorinto wameuimba hadi ikabaki matusi na majungu baada ya kulemewa kwa miaka zaidi ya 10
Hahahahaha, Mchina amewakatalia pesa mumeshindwa kumalizia SGR, kukarabati reli ya zamani mumeshindwa, sisi kila kitu tunafanya wenyewe kwa pesa yetu, unataka tuwepite katika nini tena. Kujisifia kwa uchumi wa kupika ktk makaratasi wakati uhalisia unajulikana?
 
We need more light about each other. Light creates understanding, understanding creates love, love creates patience, and patience creates unity.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom