babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,011
- 26,651
Ukipita forums mbalimbali utakuta mkenya anaitaja Tanzania tena kwa mabaya ili waonekane kwao hakuna mabaya Wakati yapo chungu mzima, Ukipita forums zingine unakuta kaitaja Tanzania hata sehemu ambayo Tanzania haihusiki ili mradi tu yeye ajisafishe, na wakiambiwa huwa hawabishana kwa fact zaidi ya kuja na maneno eti tunawaonea wivu sijui nn na nn.
Kwanini msipambane na mambo yanayoendelea nchini kwenu? Au hamyaoni? Au mnatafuta pa kuondolea stress? TOENI BORITI JICHONI MWENU KABLA HAMJATOA KWA MWENZENU.
au kuna mahali mmeandikiwa mnashindana na Tanzania?
Au ndo ile mlikaririshwa Tanzanian ni wapole so mnaeza waongelea ubaya wowote, alafu mkijibiwa ndo mnaanza maneno yale yale mabaya, Badilikeni Kenyans.