Kwanini mke wako akikuta meseji ya mchepuko ukiomba msamaha na kufanya nae mapenzi anakusamehe?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,073
107,565
Hii nimeishuhudia mara kwa mara maeneo mbalimbali ila Jioni hii ndiyo 'nimeithibitisha' kabisa. Kuna Mke wa Watu 'Kafumania' Meseji ya 'Hawara' ya Mumewe katika Simu yake na kwa jinsi Mwanamke ( Mke ) huyu alivyokuwa akifoka, akipiga kelele, akitishia Kuondoka kurejea Kwao huku akimtukana huyo 'Hawara' akimuunganisha na Mumewe siamini ninachokiona hivi sasa.

Baada ya 'Mbwembwe' zote hizo za Mkewe Jamaa ( Mumewe ) Yeye muda wote alikuwa 'ametulia' tu 'tuli' na muda mwingine 'akikanusha' huku 'akimbembeleza' Mkewe na taratibu nikawa naanza Kumsikia Mkewe ( Mwanamke ) Sauti yake ya Kufoka, Kugomba, Kukashifu na Kutukana ikipungua kadri dakika zilivyokuwa zinayoyoma na Mumewe akiendelea 'Kuguguma' zake tu.

Kilichotokea baada ya hapo nikamsikia Mwanaume ( Mumewe ) ameomba waende Chumbani ambapo hapo hapo tena nikaisikia Sauti ya Mwanaime akimuomba Msamaha Mkewe ( Mwanamke ) halafu akampa 'Pesa' kisha nikasikia 'Ukimya' wa muda ( wa Kimkakati ) ulioashiria kuwa walikuwa 'Wakifanyana' na baada ya hapo hadi hivi sasa Mwanamke naona ndiye mwenye Furaha, akipika na Kuimba pia tofauti na awali.

Je, hii mbinu itumike kwa Wanaume wengine pale 'wakihitilafiana' na Wake / Wapenzi Wao au inategemea na Mwanamke na Kosa lako ulilofanya?
 
Hahaha hakika vizuri sana kauli moja ngum ni hiii pesa ndoo kila kitu katk ulimwengu huu wa sasa na kufoka kwa huy mwanamke ni kutaka kulinda tuu penz lake na sio kingine na ndoo.maan akapata furaha baada ya kushiriki tendo
 
Umetupiga Shigongo hapa. Haya yote yanafanyika wewe unasikiliza tu.
Nyumba za Kupanga 'Uswahilini / Uswazinyo' mnaweza 'mkafichana' Jambo Mkuu? Tatizo lenu 'JF Members' wengi mnaishi Oysterbay na Masaki tu.
 
Hahaha hakika vizuri sana kauli moja ngum ni hiii pesa ndoo kila kitu katk ulimwengu huu wa sasa na kufoka kwa huy mwanamke ni kutaka kulinda tuu penz lake na sio kingine na ndoo.maan akapata furaha baada ya kushiriki tendo
Mkuu yaani kwa jinsi Mkewe ( Mwanamke ) huyu alivyokuwa 'siamini' kabisa kama ndiyo huyu ninayemuona hivi sasa. 'Pesa' na 'Ubolo' ni HATARI!
 
Unaitwa ukajibu hoja...kuna nyuzi yako huko....haahaa..sio unafuatilia maisha ya watu tu,na maisha yako washafuatilia
 
'Uzi' gani huo Mkuu? Tafadhali hebu ingia kisha niite ili niuone na pia niweze 'Kuuchangia' na kama kuwa wa kuwapa 'Dozi' zao 'murua' niwape pia.
 
😂😂😂 ila we nawe acha kuchungulia kwa watu..na kumpa pesa ulishuhudia..🤔 we noma.
Sasa kama 'Vyumba' vyetu tu vyenyewe hapa / huku 'Uswahilini' nilikopanga juu hakuna 'Paa' nitaacha Kuvisikia 'Vitimbi' vyote hivi 'Mkuu' wangu?
 
Ndiyo hvy siku za kizazi hiki pes na mapenzi ndoo kiko katika akili za wengi
Kwahiyo Mwanamke 'mbunifu' si anaweza akatumia 'Mbinu' ya 'Kumlengesha' Mumewe kwa 'Mahara' ili awe anajipatia Pesa hivi kila mara Mkuu au?
 
Hii nimeishuhudia mara kwa mara maeneo mbalimbali ila Jioni hii ndiyo 'nimeithibitisha' kabisa. Kuna Mke wa Watu 'Kafumania' Meseji ya 'Hawara' ya Mumewe katika Simu yake na kwa jinsi Mwanamke ( Mke ) huyu alivyokuwa akifoka, akipiga kelele, akitishia Kuondoka kurejea Kwao huku akimtukana huyo 'Hawara' akimuunganisha na Mumewe siamini ninachokiona hivi sasa.

Baada ya 'Mbwembwe' zote hizo za Mkewe Jamaa ( Mumewe ) Yeye muda wote alikuwa 'ametulia' tu 'tuli' na muda mwingine 'akikanusha' huku 'akimbembeleza' Mkewe na taratibu nikawa naanza Kumsikia Mkewe ( Mwanamke ) Sauti yake ya Kufoka, Kugomba, Kukashifu na Kutukana ikipungua kadri dakika zilivyokuwa zinayoyoma na Mumewe akiendelea 'Kuguguma' zake tu.

Kilichotokea baada ya hapo nikamsikia Mwanaume ( Mumewe ) ameomba waende Chumbani ambapo hapo hapo tena nikaisikia Sauti ya Mwanaime akimuomba Msamaha Mkewe ( Mwanamke ) halafu akampa 'Pesa' kisha nikasikia 'Ukimya' wa muda ( wa Kimkakati ) ulioashiria kuwa walikuwa 'Wakifanyana' na baada ya hapo hadi hivi sasa Mwanamke naona ndiye mwenye Furaha, akipika na Kuimba pia tofauti na awali.

Je, hii mbinu itumike kwa Wanaume wengine pale 'wakihitilafiana' na Wake / Wapenzi Wao au inategemea na Mwanamke na Kosa lako ulilofanya?
Wacha umbea
 
Hakika hilo mbn liko wazi wanawake wa kileo majanga matupu yaan anaweza kuwa na mume lakini kubwa anaona mali walizo nazo na wala haja mpenda mume thus mume akifariki mbio nyingi kubadilisha hati miliki ya ardhi na nyumba na usisahau madawa ya kuzuia mimba ndio chanzo kikubwa kinacho endeleza uhuni na kuficha siri nying
 
Hii nimeishuhudia mara kwa mara maeneo mbalimbali ila Jioni hii ndiyo 'nimeithibitisha' kabisa. Kuna Mke wa Watu 'Kafumania' Meseji ya 'Hawara' ya Mumewe katika Simu yake na kwa jinsi Mwanamke ( Mke ) huyu alivyokuwa akifoka, akipiga kelele, akitishia Kuondoka kurejea Kwao huku akimtukana huyo 'Hawara' akimuunganisha na Mumewe siamini ninachokiona hivi sasa.

Baada ya 'Mbwembwe' zote hizo za Mkewe Jamaa ( Mumewe ) Yeye muda wote alikuwa 'ametulia' tu 'tuli' na muda mwingine 'akikanusha' huku 'akimbembeleza' Mkewe na taratibu nikawa naanza Kumsikia Mkewe ( Mwanamke ) Sauti yake ya Kufoka, Kugomba, Kukashifu na Kutukana ikipungua kadri dakika zilivyokuwa zinayoyoma na Mumewe akiendelea 'Kuguguma' zake tu.

Kilichotokea baada ya hapo nikamsikia Mwanaume ( Mumewe ) ameomba waende Chumbani ambapo hapo hapo tena nikaisikia Sauti ya Mwanaime akimuomba Msamaha Mkewe ( Mwanamke ) halafu akampa 'Pesa' kisha nikasikia 'Ukimya' wa muda ( wa Kimkakati ) ulioashiria kuwa walikuwa 'Wakifanyana' na baada ya hapo hadi hivi sasa Mwanamke naona ndiye mwenye Furaha, akipika na Kuimba pia tofauti na awali.

Je, hii mbinu itumike kwa Wanaume wengine pale 'wakihitilafiana' na Wake / Wapenzi Wao au inategemea na Mwanamke na Kosa lako ulilofanya?
Kwanini heading za threads zako zinakuwa na maelezo marefu sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukaamua upande juu uchungulie anavyopewa pesa..!!😂😂
Kama Magawa ( Panya ) tu akiwa anafunua 'Masufuria' Chumba cha Pili huwa nasikia nitashindwa Kusikia anachokifanya Binadamu Mwenzangu tu?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom