Kwanini mizinga 21? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini mizinga 21?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pota, Feb 18, 2012.

 1. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  mie sio mtaalamu wa mambo ya kijeshi.
  lakini nauliza kwa nini nadhani marais wote wakiapishwa
  wanasindikizwa na mizinga 21? kwa nini isiwe 20, ama 25
  ama 30 nk, yaani namba ambazo zinakumbukika vizuri.
  mfano si busara kumwambia mtu aje labda saa moja na dk 11,12,13,17, nk
  lakini utamwambia aje na dk 15, 20 nk. kwanini mizinga 21 na imekuwa
  universal. ni nani aliyependekeza hiyo 21?
   
 2. N

  Ndole JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ngoja waje watalaamu wa mabomu ya gongolamboto na mbagala watatwambia
   
 3. kende

  kende JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2014
  Joined: Dec 2, 2013
  Messages: 3,478
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 135
  swali linahitaji jibu hili
   
 4. na unimanye

  na unimanye Member

  #4
  Apr 26, 2014
  Joined: Apr 20, 2014
  Messages: 76
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 15
  U Freemason huu
   
 5. KISHINDO

  KISHINDO JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2014
  Joined: Jun 23, 2013
  Messages: 1,607
  Likes Received: 631
  Trophy Points: 280
  Sijui nikutumie namba au email ya kikwete umwulize??
   
 6. b

  bategereza JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2014
  Joined: Dec 26, 2013
  Messages: 3,338
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  You want how many gun salute. law say 21. why you want different ? go Dodoma to CA and say i want one gun salute. keep qyuit not your government.
   
Loading...