Kwanini mikutano ya Trump inajaa mno lakini ya mpinzani wake haina hata amsha amsha

Democrats kituko tu, Wanawawekea wananchi wa majimbo yao lockdown ila wao hawaitaki,

Bibi nancy Pelosi wa democrats alionyeshwa kwenye video kaenda saloon kutengeneza nywele zake wakati biashara kama hio ya saloon ilibidi ifungwe kwajili ya lockdown, Ila sababu wao ni wakandamzaji alimlazimisha mwenye saloon aifungue kwajili yake na video ilimonyesha hajavaa mask wala kuzingatia social distance.

Udhaifu wa democrats ndio sababu kuu hakuna wanaotaka kwenda hata kwenye kampeni za Biden, Watu wapo dam dam na trump saizi.
Siasa za Marekani ziangalie kwa jicho la kiuchambuzi tu.

Maana mshajenga ufuasi msukuke tena. Mna moyo sana
 
Siasa za Marekani ziangalie kwa jicho la kiuchambuzi tu.

Maana mshajenga ufuasi msukuke tena. Mna moyo sana
Tatizo mtu kama wewe ni wazi kabisa nimeona unafatiliaga hizi news za cnn ambazo zimepikwa sana na hawaonyeshagi negative side ya democrats, Epuka kuwa muhanga achana na cnn heri fox news
 
Tatizo mtu kama wewe ni wazi kabisa nimeona unafatiliaga hizi news za cnn ambazo zimepikwa sana na hawaonyeshagi negative side ya democrats, Epuka kuwa mwanga achana na cnn heri fox news
Huna akili wewe.
 
Umepaniki, Cool down mzee 😎😎 Huu mchezo hauhitaji hasira.
Trump anaita media Fake News na ninyi mnaliimba kama kasuku.

Fox ndio supporters wa Trump.

Binafsi mimi nina vyanzo vyangu vingi naangalia na sitegemei mainstream media wala takataka yoyote kufanya conclusion.

Mfano: Hawa ni wanaharakati wa Trum kwenye grassroots kabisa.

Siasa za US siyo siasa uchwara na demokrasia za kuombea pesa za watadhili kama za Africa.
 

Attachments

  • Screenshot_20201019-204227.png
    Screenshot_20201019-204227.png
    56 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201019-204227.png
    Screenshot_20201019-204227.png
    56 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201019-204227.png
    Screenshot_20201019-204227.png
    56 KB · Views: 1
Trump anaita media Fake News na ninyi mnaliimba kama kasuku.

Fox ndio supporters wa Trump.

Binafsi mimi nina vyanzo vyangu vingi naangalia na sitegemei mainstream media wala takataka yoyote kufanya conclusion.

Mfano: Hawa ni wanaharakati wa Trum kwenye grassroots kabisa.

Siasa za US siyo siasa uchwara na demokrasia za kuombea pesa za watadhili kama za Africa.
Sio fake news tena, ni corrupt news kabisa hawa cnn, Dumb bastards kabisa 😎😎

Walichochea sana russian hoax, Impeachment, collusion na takataka kibao ila Trump akaibuka kidedea na hizo fake newa zinaendelea kushuka chini.

Fox News leo hii inazigaragaza media zilizowahi kuwa juu kama cnn, msnbc, n.k ambazo zinatoa fake news

wamarekani wanapenda ukweli wakaona isiwe taabu wakahamia mazima fox news,

Huko cnn watazamaji wengi ni watu wasio raia wa marekani ambao kuwa brain wash ni rahisi sana kama wewe.

Anyway, Kumbe hata wewe naona ulikuwa mpinzani saizi umeukubali mziki wa trump, Naona kwenye picha hio inamsapoti trump 😁😁 karibu kwenye chama la wana

Tupate tangazo kidogo

 
Anasema yupo concerned na Covid_19,hataki watu wajaee...Kumbe watu hawavutiwi tu na mikutano yake.
 
Na huo ndio ukweli tena zaidi ya aslimia mia.. kumpinga trump ni sawa na kupingana na Mungu na mapenzi yake..
Du uzima huo unakufanya uropoke maneno mazito kabisa ambayo kama unafikiri Kwanza kisha ndio unanena usingethubutu kusema hivyo!
 
Back
Top Bottom