Kwanini Mikataba ya Wakurugenzi wengi Tanzania Haina kikomo na Wanachukua Mishahara mikubwa sana?

Kuna thread humu janvini inamtaja EL kuwa ndiye anayewaweka hawa MaDG's,CEO's etc kama backup na source of dirty monies for political strategies..
 
Nchi ya kitu kidogoooooo........................
Mkulu mpaka afurai na wakiona mda wa kustaafu unakaribia hawaachi kujipendekeza kwa JK ili asahau kuwaondoa JK akikenua tayari kwisha habari yake kifuatacho another 5years
 
JF,
Tuchangie vizuri hii "thread" nakubaliana na mwanzilishi Rais wa Tanzania amepewa madaraka makubwa mno kuteua kila Mtendaji na kwa vile anawateua kwa staili Kama lie ya Mfalme Mswati ya kuoa mke mpya kila mwaka asilimia 90% ni wabovu na huteuliwa kiana ya uswahiba na urafiki wa Katibu Kiongozi Ikulu. Wamekuwa na upotofu kwamba kila mmoja ni mtoto au ni jamaa ya mtu aliyewahi kufanya kazi Usalama wa Taifa na ndio imeua taifa hili. Mambo yanapelekwa kiaskari Siri. Bila kufanya Mapinduzi na watu wafe tuanze upya hata hiyo Katiba mpya itasimamiwa na jamaa hao hao wanaojiita Usalama wa Taifa wako kila mahali kuanzia Polisi,JWTZ,taja taasisi yoyote utawakuta. Wengi wao elimu ya kufoji ni hao akina Pinda, Luhanjo, Mkulo,Jairo list ni ndefuu ukiwataja itakuchukua miaka na inachefua wezi watupu. Wasaidizi wote wa Mawaziri, Makatibu wakuu wengi na kuendelea hakuna mkubwa wao hii ni hatari?:A S 465:
 
Na Emmanuel Humba - Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) tangu uanze nasikia!
 
Wivu tu hapa hamna jipya. Si mjiuzulu kuwa baba au mama kisha muone familia zitakuwaje? Nije kuchukua usukani kwa mzee au mwanaume amchukue nkeo? Hapo vipi? Acheni wivu na unafiki. Nawakilisha.
 
Bado ninajiuliza kuwa kuna sababu yeyote kwa wakurugenzi Ppf kuwa ajira ya kudumu wakati hapo inasemekana walikuwa na ajira za mikataba na W Erio pekee yake ndie mwenye mkataba ambao unaisha bila shaka mwakani sasa mkuu JK unalijua hili au Mama Kabaka wizara yako inajua au Ssra ktk darubini yako unalijua hilo?
 
Hamjui kuwa hii nchi ni kama Wild Wild West? Kila mtu anachukua chake kwenye hili shamba la bibi. Acheni kulalamika na nyie fanyeni chochote mjichumie by any means necessary. Hili ni shamba la bibi halina mwenyewe. Mtakuwa mnaota kama mkifikiria kuna "good governance" bongo
 
Back
Top Bottom