chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 11,958
- 20,528
Demand and supply,supply ya mwisho ya ardhi ilifanywa dunia ilpoumbwa ikiwa na watu wawïli,leo demand ni ya watu mabilioni,pia sayansi na teknolojia,fuga mifugo michache kisasa,watu wa kilimo wasambaze nyasi za kisasa wafugaji wasivamie mapori,wawe na nyasi zao,ujenzi uwe vertical,sio horizontal,dsm isingeikaribia kibaha,upimaji,watu hawana hati-hawana mipaka-mgogoro
wananchi wanakimbia kimaendeleo kulïko serikali inavyoweza kuhudumia maendeleñ yao,watu wa takwimu-ardhi-wapanga sera-wapanga bajeti hawana forecast
wananchi wanakimbia kimaendeleo kulïko serikali inavyoweza kuhudumia maendeleñ yao,watu wa takwimu-ardhi-wapanga sera-wapanga bajeti hawana forecast