Kwanini michepuko(Vichenchede) mingi ukiibeba kwenye gari hupenda kuweka miguu juu ya dash-board na kujiachia??

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,710
3,669
Walee watu wazima wenzangu,ambao tunauenzi uanaume wa kiafrika,maana mwanaume wa kiafrika kuwa na "nyumba mbili au tatu" ni jambo la kawaida sana.

Ukikuta upo na mwanaume na hujawahi kugundua "nyumba yake ya pili" basi jua huyo anakuheshimu sana,lakini kiukweli wanaume wengi(sio wote) tuna nyumba ndogo,sema tunajificha tu ile kutunza familia na heshima kwa mama aliyekuzalia watoto.

Sasa wale tunakwapua hivi "vichenchede",unakuta umekapakia kamchepuko kako ndani ya gari,ile akiingia tu umefunga vioo na AC kwa mbaliiiii,kwanza unarukiwa na busu la kuombea pesa ya kusuka,hujakaa sawa umepukutwa jasho,mara unaulizwa hapo usoni mbona kama kuna "pimpos",ukijigeuza utaona unaulizwa halafu leo kama hauna furahaa,yaani michepuko inajua sana kuteka akili.

Mkianza safari unaona kama alikuja na viatu vya mchochomeo,basi kavivua na miguu hiyo kwenye dash body,kaunganisha simu na chaji anaendelea kuwasapika,yaani mie michepuko kadhaa niliyopita nayo toka serikali yangu ya huko mahali ipate uhuru,wakiingia tu utaona miguu juuu,analaza na siti na kujitandaza dash board.

Wale wazee wa chama la vichenchede,hivi hili wenzangu hamjali-experience??Yaani miguu juu mwendo wa gwaride
 
Mkuu acha kulisha watu tango pori. Miguu juu kitandani na si kwenye dashboard ya gari lako.
 
Hao ndo kina Rose visosa ,wale wapenda verosa ,Ukimpa lift ogopa lazima watashoboka , Miguu Dashbody Vishoka nafkr umenipata mtoa uzi
 
Back
Top Bottom