Kwanini Mhe. Tundu Lissu na Wakili Peter Kibatala hawajasikika?

Smartbeing

JF-Expert Member
Apr 7, 2014
323
422
Ni katika kesi ya Mhe. Lema

majina yao ni makubwa katika kesi za Chadema na wamekuwa wakiisaidia sana kupata ushindi japo pia naamini katika kazi ya John Mallya , au kuna tatizo?
 
Nadhani Lisu na mmoja ya wanasheria wazuri katika siasa na pia ni chama kimoja na mbunge mwenzie Lema.
Au hata kuonesha kuguswa na msoto wa mwenzie
 
Thubuutuu. Jamaa keshajishtukia hawezi kujiingiza tena kwenye upuuzi. Kwa sasa huyo "nguli wa sheria" amekuwa muoga mithili ya kunguru.
 
Kama una upele unaokuwasha,. Utamkuna jirani yako alie na upele unaomwasha au utamaliza kuukuna wako kwanza kisha ndio umwngalie jirani yako? Ndio yanayomsibu kamanda kwa sasa!
 
Hii Kesi ya Lema Mbowe kawapa Wachaga wenzie kale Ka toto Malya sikilizia Invoice itakayoandikwa hapo?!
 
Hahahaaaaa ..aiseee ckujua kama uvccm mna mheshimu Lissu kiasi hiki....oky maombi yenu tumeyapokea na tutayafanyia kz ...hongereni kwa kuonyesha bila hiana ni jinsi gani mna mkubali mh.Lissu
 
Pengine ndio maana na yeye leo kasusa na kuwaambia wamuache tu..maana hajamuona mbowe, lissu, Mzee mtei wala ndesapesa toka atiwe korokoroni..
 
Pengine ndio maana na yeye leo kasusa na kuwaambia wamuache tu..maana hajamuona mbowe, lissu, Mzee mtei wala ndesapesa toka atiwe korokoroni..
Ndio maana jukwaa kaa chuwa sampuli za maccm wakiwemo wakuu mikoa ambao siku ukifika wanatoa kama matambala mabomu endeleeni kutumia I d fake kibao lakini ndio kwanza year 1 mutashangaa sana muko anza kurushwa kichwa mutasikitika
 
Usidhan ayo mambo ni kama kwenda kununua condom dukani wewe..
Ish! kwani kwenda kununua condom haujipangi?
Lazima uangalie kulia,kushoto, nyuma kuhakikisha mazingira kama yanaruhusu, je hakuna watoto, wazazi nk. Lazima ujipange.
Mfano wako ungeutolea manunuzi ya pipi.
Kununua condom mziki wake mgumu kama ulivyo ugumu kuingilia kesi ya Lema, yahitaji kujipanga.
Mtu nguli kama Lema, mwenye nafasi ktk jamii na pesa anayo kuweza kulipa mawakili wenye weledi mkubwa.
Leo rufaa ya dhamana inashindwa kwa kigezo cha mawakili wake kukiuka masharti ya muda stahiki unaoruhusiwa ku-appeal!
Hivi kweli ni wanasheria mbumbumbu kiasi gani wasioelewa kanuni ya ukataji rufaa na kusababisha anyee mtondoo siou zote hizo?
Ndiyo maana nnasema ngoma ya Lema, kabla ya kuingia kuicheza lazima ujipange
 
Ndio maana jukwaa kaa chuwa sampuli za maccm wakiwemo wakuu mikoa ambao siku ukifika wanatoa kama matambala mabomu endeleeni kutumia I d fake kibao lakini ndio kwanza year 1 mutashangaa sana muko anza kurushwa kichwa mutasikitika
Wewe jamaa umeandika kitu gani hapa?
 
Ndio maana jukwaa kaa chuwa sampuli za maccm wakiwemo wakuu mikoa ambao siku ukifika wanatoa kama matambala mabomu endeleeni kutumia I d fake kibao lakini ndio kwanza year 1 mutashangaa sana muko anza kurushwa kichwa mutasikitika
Mkuu ume komenti ukiwa ndotoni, naona hujaeleweka kabisa!!
 
Nadhani Lisu na mmoja ya wanasheria wazuri katika siasa na pia ni chama kimoja na mbunge mwenzie Lema.
Au hata kuonesha kuguswa na msoto wa mwenzie
Hukumsikia lisu,haina haja kwa sababu anajimaliza mwenyewe,hebu tuone hayo majipu jinsi yatakavyompa kura,wanaccm wamechoka wacha amalize asepe zake
 
Thubuutuu. Jamaa keshajishtukia hawezi kujiingiza tena kwenye upuuzi. Kwa sasa huyo "nguli wa sheria" amekuwa muoga mithili ya kunguru.
Lisu alifundishwa kuchunga kauli zake maana alianza kupotoka, leoo ohooo huyu ni dicteta, alipobanwa tu, akaanza kutumia mtukufu rais!!

Wakati mwingine kibano kinasaidia. Lema ashalijua hilo
 
Lissu mwenyewe alishakiri kuwa mahabusu huko siyo kuzuri sasa kwa nini ajichanganye tena kwenda kuhangaika na mtu anayefanya siasa za kianalojia? Lema utadhani kuna kitu huwa anamiss huko mahabusu na akitoka tu analikoroga tena kwa makusudi kabisa ili arudishwe. Kumbe unaweza kufanya siasa komavu kama akina Sumari, Mnyika, Mdee na wengine na ukawa effective kabisa kwa watu waliokuchagua bila hata ya kukanyaga huko mahabusu.
 
Back
Top Bottom