Akili yako finyu sana,hivi ule ulikuwa ni mkutano wa kwanza kufanyika ikulu ambao waalikwa pia walikuwa ni viongozi wa vyama vya siasa?Ni dhahiri jibu ni hapana,sasa kama unaakili timamu anza kujiuliza ni kwa nini mikutano ya nyuma walikuwa hawaendi?Kuhusu tuache polisi wafanye uchunguzi hill ni sahihi kabisa,maana jeshi letu linafanya kazi vizuri kabisa.Maana matukio yote yaliyowahi kufanyika hapo nyuma watuhumiwa walikamatwa.Pia hakuna upendeleo ktk kusimamia haki za kisiasa.Kuhusu bavicha kutotumia busara ni kweli hawajafanya vizuri,maana serikali yetu huwa inafanya maamuzi ya busara,wala haikurupuki kama swala la bomoabomoa.Pia viongozi wetu wa serikali maneno yao ni ya kufariji na si yakebehi.Kwa hali hii bavicha waige mfano wa viongozi wetu wa serikali ambao kila jambo wapo sahihi wala hawakosei.