Kwanini mh Edward Lowassa hampongezi rafiki yake mh Rais Kenyatta

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
2,197
2,024
Declaration of interest. Binafsi namkubali sana mzee wetu EL ambaye ni chaguo la watanzania walio wengi.Kwa utulivu wake na jinsi anavyofanya maamuzi kwa uweledi uliotukuka.
Ikumbukwe mh Lowasa ana urafiki mkubwa sana na Rais kenyata na urafiki wao ni wa muda mrefu.

Wakati jirani zetu wakenya wakiingia katika uchaguzi kipindi cha kampeni Mzee wetu EL alifunga safari kwenda Kenya ili kumsaidia huyu rafiki yake kipenzi.Kitendo kile cha kumsaidia kampeni ndugu Kenyatta kilitufurahisha sana sisi wafuasi wake.Ikumbukwe urafiki wa kweli utaujuwa wakati wa raha na shida.

Baada ya kampeni kumalizika Jirani zetu waliingia katika uchaguzi ambao Ndugu Kenyatta aliibuka mshindi kwa kishindo kwa kumgaragaza mpinzani wake Ndugu Raila Odinga.Hivyo akateuliwa na wananchi kuwa rais wa Kenya, so sad Ndugu Odinga alienda mahakamani kupinga uchaguzi na kuomba urudiwe upya na mahakama ilimsikiliza na kuamuwa uchaguzi urudiwe.

Mzee wetu/kipenzi cha watanzania hakumpongeza Kenyatta hata kabla ya uchaguzi kufutwa,Mimi na wengine tulijiuliza kwanini hampi ongera rafiki yake.Uchaguzi ukaamliwa ufanyike tena tarehe 26/10/2017 ambayo ni juzi.Kuelekea kwenye uchaguzi Ndugu Odinga alikataa kushiriki uchaguzi kwa kuwa hautakuwa wa uhuru na haki.

Hivyo tarehe ilipowadia mamilioni ya wananchi wa Kenya walijitokeza kupiga ili kutimiza haki yao ya kikatiba.Uchaguzi ulifanyika bila ya ushiriki wa Odinga lakini haikizuia uchaguzi mara baada ya zoezi la kupiga kura na kuhesabu ndugu Kenyatta aliibuka mshindi kwa kishindo sana.Kenyata akatangazwa leo kuwa ni mshindi wa kiti cha uraisi.

Jambo la kushangaza hata leo mzee wetu El hajatuma pongezi zozote kwa rafiki yake,tatizo nini?Kama asipotuma ndugu/jirani zetu watamfikiria vipi mzee wetu?,Uongozi wa juu katika chama mbona hawatowi neno ili kutupa hopes zozote?

Honestly nampongeza Mh rais Kenyatta kwa kushinda uchaguzi kwa mafuriko.
 
529d9d5b201776855ac70291289083be.jpg
 
Kwahiyo akimpongeza lazima hakutumie na wewe kopy au. KENYATTA alishapongezwa tangu mwanzo sasa apongezwe tena kwa ajili gani anachosubiri ni kuhudhuria kuapishwa kwake. Wakati mwingine huwa mnaangalia vitu vya kuandika
 
Back
Top Bottom