Kwanini Membe & Co. hawammalizi kisiasa Rais Magufuli?

Chacha njomba unanisemea, ndio majungu yenyewe hayo, rudi kwenye sheria za hii forum, oooops kama mzee Mwanakijiji alivyokuwa anasema ''tujadili kwa hoja sio viroja''. Leta ushahidi wacha uchuro!
Kwann ww ulvyosemea kuwa ni chadema wamehusika ultoa ushahd wako
 
Chacha njomba unanisemea, ndio majungu yenyewe hayo, rudi kwenye sheria za hii forum, oooops kama mzee Mwanakijiji alivyokuwa anasema ''tujadili kwa hoja sio viroja''. Leta ushahidi wacha uchuro!
Toa ushahd wako kama CDM walihusika na mm ntatoa ushahd wng KuWa wana lumumba walihusika
 
Kwa hiyo unataka jibu langu kwa sababu maswali yamekuwa magumu kwako? Huo ndio tunaita Upimbi, wewe ni mfuata upepo?
Sasa utatakaje majb kwng wakat ww haujajb hoja yako ulyotoa tena ukzngatia ww ndo ulyeanz kutoa sasa nan pimbi kat ya mm na ww tafakar upy kama umezdiw ket n kheri unyamaze
 
I expected that reaction, you never asked me and you expect me to make life easier on your side. Jibu swali wacha kuzunguka mbuyu. BTW if you read carefully you'll see my answer in the first post.
 
Sasa ni dhahiri kwamba Rais Magufuli hana urafiki na Membe kwanza naweza hata kwenda mbali kuita maadui, sasa swali langu kwa nini Membe na watu wake hawampi Magufuli pigo moja litakalommaliza kisiasa?

Kwanini hawaaniki hata kwa siri tu ushahidi wa kupigwa risasi Tundu Lissu na Serikali yetu kama wanavyodai? Tatizo ni nini?

Nina uhakika hili litamdondosha Magufuli nje na ndani, Tundu Lissu atatembea kifua mbele kwa Mzungu na ushahidi, hapa nyumbani ukweli utajulikana na itakuwa game over. Sasa kwanini hawafanyi?
 
Unaona umefaidi kuwa huru.
 
Uwezo wa akili wa Membe ni mdogo sana, katika siasa alibebwa na ndugu yake JK zaidi ya hapo Hana uwezo wowote wa kiutendaji na Hana maarifa ya mbinu za kisiasa, abaki tu kuwa kachero
 
Chaga dema mna matatizo sana na hapa mmegonga ukuta. hata mkitoa chozi la damu Maendeleo ya Tanzania kwanza mengine baadaye. Hapa kazi tu!
 
Na kwa nini mpaka leo hii hakuna ushahidi wowote ule popote pale wa ushiriki wa Serikali? Kwa nini hata kwenye social media hakuna chochote? Kwa nini maadui wote wa Raisi Magufuli kuanzia Wanasiasa wakubwa mpaka kwenye Chama na Usalama hakuna infos zozote zilizolikishwa hasa kipindi hiki cha Social media ambapo hakuna siri? Je unafikiri Tundu Lisu angekuwa ushahidi angeuficha huko kwa Muzungu anakozunguka kuisema nchi yetu kwamba imempiga risasi?
Una haraka sana eti, watu wataanza kupanda ndege kwa lazima kwenda the Hague muda si mrefu.
 
Aliyeshika mpini daima anakula nyama.

Hakuna cha Membe wala CO au Organization elewa tu kuwa yeyote yule akiwa ndani ya nyumba nyeupe hatua hiyo siyo mzaha.

Labda, uliza hivi ni kwa nini Rais hawamalizi kisiasa Membe & Co?

Wafuasi wake tulieni tu wakati wake ukifika kama yupo kwenye foleni ya jumba jeupe ataingia ila kama hayumo kwenye foleni ya mkata majina basi tambua kuwa atarukaruka kama maharage mwishowe ataiva na kuliwa.
 
Back
Top Bottom