Kwanini mchepuko apigwe goli nyingi mke wa ndoa goli moja tu?

Mkuu kumbuka wife upo naye kila siku hivyo level of satisfaction is high by nature...ile kulala naye tu inaleta raha (kama mpo kwenye good terms). Sasa mchepuko ni mara moja moja. Lazima usimamie shoo kama Lucky Dube stejini
 
1465628428251.jpg
 
Sasa mke wako unaye daily hivyo huna haraka naye lakini mchepuko muda wowote waweza kukukacha hivyo lazima apate dozi 3*3.
 
duu ila kuna ukweli, manake mechi za ugenini sijui nguvu zinatoka wapi aisee yani zinakuja automatically na hamu haiishi, sio kama mechi ya ndani
 
Wanajamvi,

Hivi kwanini wanaume wengi nje ya ndoa hupiga goli nyingi ila ndani ya ndoa mwisho tatu au mbili na sometime kamoja tu?
Mkuu mikchepuko asilimia kubwa imejaa ubunifu kwa hiyo unakuta unakunjuka bao za kutosha, ila wife nyumbani ailimia kubwa kisa kishaolewa basi ule utundu wake wote wa zamani kishauacha.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom