Kwanini mchepuko apigwe goli nyingi mke wa ndoa goli moja tu?

Mkuu kumbuka wife upo naye kila siku hivyo level of satisfaction is high by nature...ile kulala naye tu inaleta raha (kama mpo kwenye good terms). Sasa mchepuko ni mara moja moja. Lazima usimamie shoo kama Lucky Dube stejini
Kusimamia shoo siyo, toka mlangoni hadi stejini lazima uoneshee umwambaa
 
  • Thanks
Reactions: irk
Mambo mengine hawa wake zetu wanajitakia wenyewe tu ,ukimwambia akufanyie masaji jamani anafanya utafikiri anachuna magome ya miti.....nenda mchepukoni sasa ukutane na masaji ya level nyingine unadhani utashindwa kupiga bao 5 au 6 kwa ucku.....

Haya:- mnapokuwa ndani na wife badala akuvalie vinguo vya ishara na maajabu ili kukupa msisimko wa kujiandaa na pambano yeye anavaa suruali utadhani anaenda kuwatafuta magaidi wa IS.....mchepuko sasa.....akigundua we unapenda avae kimini basi yeye atakuvalia kiminua kabisa....hapo utashindwa kumshindilia bao 5 jamani, mi ndo nasemaga kila cku kwamba huwa hakuna huu upuuzi wanaousema eti "upungufu wa nguvu za kiume" hilo napingana nalo kabisa
Duuh Galadudu umeandika kwa hisia kweli
 
Mkuu mikchepuko asilimia kubwa imejaa ubunifu kwa hiyo unakuta unakunjuka bao za kutosha, ila wife nyumbani ailimia kubwa kisa kishaolewa basi ule utundu wake wote wa zamani kishauacha.
Na wanaume pia wakishaoa mautundu wanaacha,,
 
Back
Top Bottom