Kwanini mbunge wa Kawe haudhurii katika matukio ya kijamii jimboni ikiwemo misiba inayoshirikisha viongozi wa kitaifa?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,607
141,429
Nipo katika shughuli ya msiba wa Kibonde nikiwa na rafiki yangu mbunge wa Mikumi mh Prof Jay.
Tupo na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais mstaafu mh Kikwete, waziri Mwakyembe na RC Makonda.

Cha ajabu ni kama ilivyokuwa katika msiba wa Ruge na misiba mingine mingi tu jimboni kawe inayoshirikisha viongozi wa kisiasa na serikali, mbunge wetu Halima Mdee hayupo.

Mbunge wetu Halima Mdee jitahidi kutoa ushirikiano kwa wapiga kura wako hata kama unajua 2020 hautarudi mjengoni.

Maendeleo hayana vyama!
 
Yuko jela
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa hiyo hapo ulipo msibani ni Kawe? Misiba inayotokea Kawe inajulikana kwenye mitandao ya kijamii Kama huo wa Kibonde?
Kazi ya mbunge ni kutatua kero za misiba?
 
Halima hana muda wa siasa za misibani. Ccm ndio wanamuda wa siasa za kujionyesha kwamba ni watu rahimu. Halima usiende, ubunge pekee yake sio sehemu ya kuendesha maisha. Ni mwiko kwenda kuchanganyikana na wanafiki.
 
Nipo katika shughuli ya msiba wa Kibonde nikiwa na rafiki yangu mbunge wa Mikumi mh Prof Jay.
Tupo na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais mstaafu mh Kikwete, waziri Mwakyembe na RC Makonda.

Cha ajabu ni kama ilivyokuwa katika msiba wa Ruge na misiba mingine mingi tu jimboni kawe inayoshirikisha viongozi wa kisiasa na serikali, mbunge wetu Halima Mdee hayupo.

Mbunge wetu Halima Mdee jitahidi kutoa ushirikiano kwa wapiga kura wako hata kama unajua 2020 hautarudi mjengoni.

Maendeleo hayana vyama!
We sugar mummy unashida sana.Hii kazi ya kupiga ramli humu haiwezi kukusaidia
 
Nipo katika shughuli ya msiba wa Kibonde nikiwa na rafiki yangu mbunge wa Mikumi mh Prof Jay.
Tupo na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais mstaafu mh Kikwete, waziri Mwakyembe na RC Makonda.

Cha ajabu ni kama ilivyokuwa katika msiba wa Ruge na misiba mingine mingi tu jimboni kawe inayoshirikisha viongozi wa kisiasa na serikali, mbunge wetu Halima Mdee hayupo.

Mbunge wetu Halima Mdee jitahidi kutoa ushirikiano kwa wapiga kura wako hata kama unajua 2020 hautarudi mjengoni.

Maendeleo hayana vyama!

Tupo me na ww tunamwakilisha hapa msibani.
 
Acha uzushi mkuu mbona kwenye msiba wa Ruge alienda na aliongea jinsi atakavyomkumbuka Ruge.

Hii ya Kibonde labda amebanwa na majukumu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo katika shughuli ya msiba wa Kibonde nikiwa na rafiki yangu mbunge wa Mikumi mh Prof Jay.
Tupo na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais mstaafu mh Kikwete, waziri Mwakyembe na RC Makonda.

Cha ajabu ni kama ilivyokuwa katika msiba wa Ruge na misiba mingine mingi tu jimboni kawe inayoshirikisha viongozi wa kisiasa na serikali, mbunge wetu Halima Mdee hayupo.

Mbunge wetu Halima Mdee jitahidi kutoa ushirikiano kwa wapiga kura wako hata kama unajua 2020 hautarudi mjengoni.

Maendeleo hayana vyama!
inawezekana anaenda misiba ya watu wasio maarufu. hataki kiki nasikia na bwana yule alipokuwa mbunge chattle alikuwa hauzuliii pia.
 
Nipo katika shughuli ya msiba wa Kibonde nikiwa na rafiki yangu mbunge wa Mikumi mh Prof Jay.
Tupo na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais mstaafu mh Kikwete, waziri Mwakyembe na RC Makonda.

Cha ajabu ni kama ilivyokuwa katika msiba wa Ruge na misiba mingine mingi tu jimboni kawe inayoshirikisha viongozi wa kisiasa na serikali, mbunge wetu Halima Mdee hayupo.

Mbunge wetu Halima Mdee jitahidi kutoa ushirikiano kwa wapiga kura wako hata kama unajua 2020 hautarudi mjengoni.

Maendeleo hayana vyama!
Acha umbea! Aje msibani ndo kuleta maendeleo? Mbona jiwe hujamsema ktk matukio mengi?
 
Halima hana muda wa siasa za misibani. Ccm ndio wanamuda wa siasa za kujionyesha kwamba ni watu rahimu. Halima usiende, ubunge pekee yake sio sehemu ya kuendesha maisha. Ni mwiko kwenda kuchanganyikana na wanafiki.
Nipo hapa na kamanda Prof Jay!
 
Nipo katika shughuli ya msiba wa Kibonde nikiwa na rafiki yangu mbunge wa Mikumi mh Prof Jay.
Tupo na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais mstaafu mh Kikwete, waziri Mwakyembe na RC Makonda.

Cha ajabu ni kama ilivyokuwa katika msiba wa Ruge na misiba mingine mingi tu jimboni kawe inayoshirikisha viongozi wa kisiasa na serikali, mbunge wetu Halima Mdee hayupo.

Mbunge wetu Halima Mdee jitahidi kutoa ushirikiano kwa wapiga kura wako hata kama unajua 2020 hautarudi mjengoni.

Maendeleo hayana vyama!
Pumbavu! Wewe ndiye unachukua roll call ya wahudhuriaji kwenye misiba? Shithole!!
 
Back
Top Bottom