Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,620
- 34,053
Hiyo ni kwa mujibu wa tasfiri ya nani, au yako ?Elimu kazi ni kumwezesha mwanadamu kutatua changamoto zinazomzunguka.
Sasa kama umesoma halafu uwezo wako wa kupambana na changamoto ni sawa na wangu. Au pengine nakuzidi. Usomi wako una maana gani? Huko mnasomea ujinga na ngono tu.
Nambie ni nani ambaye ana maisha ya mafanikio makubwa bila msaada wa elimu ?