Kwanini Mbowe hahudhurii msiba wa Morgan Tsvangirai ilihali viongozi wakuu wa upinzani barani Africa wananahudhuria?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,469
Habari wadau.

Msiba wa kiongozi maarufu wa upinzani barani Africa umekusanya watu wa kila aina wakiwepo viongozi wengine wa upinzani barani. Miongoni mwao ni Raila Odinga wa kenya na kiongozi wa upinzani wa Namibia.

Tsavingirai alikuwa mpinzani wa Mugabe kule Zimbabwe kwa muda mrefu na atakumbukwa ktk siasa za upinzani ktk bara hili. Atazikwa Leo kijijini kwao km zaidi ya 200 kutka jiji kuu Harare.

Licha umaarufu wake ktk upinzani si Chadema wala CUF waliotuma mwakilishi msibani.
 
Wewe AMA bayako ashawahi hudhuria vifo vya walimuwaluowafundisha kama siokuja kusema wametufikisha hapa rip..
 
Hapa nyumbani kuna msiba mkubwa na unawahusu moja kwa moja viongozi wakuu wa upinzani. Isitoshe Wengi wao wana wito kituo cha polisi kwa mahojiano.
 
Wamemkosa hata mwakilishi jamani au wamepitiwa?
 
Wewe AMA bayako ashawahi hudhuria vifo vya walimuwaluowafundisha kama siokuja kusema wametufikisha hapa rip..
Baba yangu sio taasisi na wakati mwingine hapati taarifa za misiba ya walimu wake ambao wapo mbali sana na isitoshe wote walikufa siku nyingi na baba pia ni mzee sana kiumri.
 
Habari wadau.

Msiba wa kiongozi maarufu wa upinzani barani Africa umekusanya watu wa kila aina wakiwepo viongozi wengine wa upinzani barani. Miongoni mwao ni Raila Odinga wa kenya na kiongozi wa upinzani wa Namibia.

Tsavingirai alikuwa mpinzani wa Mugabe kule Zimbabwe kwa muda mrefu na atakumbukwa ktk siasa za upinzani ktk bara hili. Atazikwa Leo kijijini kwao km zaidi ya 200 kutka jiji kuu Harare.

Licha umaarufu wake ktk upinzani si Chadema wala CUF waliotuma mwakilishi msibani.
Usiwe na shaka watahudhuria ukifa wewe!
 
Kama msinge muua kamanda Wa Kinondoni angeli hudhulia Wanazika Leo pia Viongozi waandamizi Wa Chadema wana wito Wa Kipolisi
 
Yeye anaongoza SACCOS aend Zimbabwe kufanya nini wanaenda huko wenye vyama mkuu
 
..Magufuli na Tsivangarai waliwahi kumpigia kampeni Raila Odinga.

..Kwa hiyo ulitakiwa kuuliza kwanini Magufuli ametuma twitter tu badala ya kwenda kumzika Tsivangarai, ambaye ni swahiba wa Magufuli na Odinga?
Barozi wa TZ anakazi gani zimbabwe??
 
Habari wadau.

Msiba wa kiongozi maarufu wa upinzani barani Africa umekusanya watu wa kila aina wakiwepo viongozi wengine wa upinzani barani. Miongoni mwao ni Raila Odinga wa kenya na kiongozi wa upinzani wa Namibia.

Tsavingirai alikuwa mpinzani wa Mugabe kule Zimbabwe kwa muda mrefu na atakumbukwa ktk siasa za upinzani ktk bara hili. Atazikwa Leo kijijini kwao km zaidi ya 200 kutka jiji kuu Harare.

Licha umaarufu wake ktk upinzani si Chadema wala CUF waliotuma mwakilishi msibani.
Kwanza akifanikiwa kufika airport ni Bahati tu maana ameshazushiwa kesi huku.
 
Habari wadau.

Msiba wa kiongozi maarufu wa upinzani barani Africa umekusanya watu wa kila aina wakiwepo viongozi wengine wa upinzani barani. Miongoni mwao ni Raila Odinga wa kenya na kiongozi wa upinzani wa Namibia.

Tsavingirai alikuwa mpinzani wa Mugabe kule Zimbabwe kwa muda mrefu na atakumbukwa ktk siasa za upinzani ktk bara hili. Atazikwa Leo kijijini kwao km zaidi ya 200 kutka jiji kuu Harare.

Licha umaarufu wake ktk upinzani si Chadema wala CUF waliotuma mwakilishi msibani.

Kwani Jahazi Asili na TLP wametuma mwakilishi?
 
Back
Top Bottom