Kwanini mbinu za Washawasha zisitumike kwa Zimamoto?

Kajole

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
1,667
1,642
Jamani habari ya weekend?

Nilikuwa naangalia clip ya mashabiki wa soka walivyokuwa wakilazimisha kuingia uwanjani kuangalia mchezo wa Yanga vs TP Mazembe..

Sijawahi sikia au kuona eti gari la polisi la maji yale ya kuwasha limechelewa au limefika eneo la tukio likiwa halina maji lakini ni tofauti kabisa na GARI LA ZIMAMOTO ambalo mara nyingi litachelewa au litafika eneo la tukio halafu utaambiwa halina maji.

Dah labda itasaidia
 
THE FORMER- UNAUNGUZA ''SIRIKALI''
THE LATTER-KANAUNGUA ''KANYUMBA'' KAKO.......
 
Tatizo watu wanachukulia poa magari ya zimamoto yaan gar linaweza likawa linapiga kin'gora lkn watu hawapishi lkn likiwa linapita washawasha wanapisha bila shurut pia nimefuatilia na kugundua kuwa Yale magar ya zimamoto yana mtambo wa kurusha maji " pump" hvyo ile pump ukiweka pressure kubwa maji hayakai kabisa na magar mengi bongo ya fire ni lt 7000 so unaweza kuta ukatumia maji hayo ndan ya Dk 20 ndo maana watu wanasema wamekuja na maji kidogo na changamoto za maji mnazi jua sasa wap wanaenda kupata maji mengne ya haraka
 
Jamani habari ya weekend?

Nilikuwa naangalia clip ya mashabiki wa soka walivyokuwa wakilazimisha kuingia uwanjani kuangalia mchezo wa Yanga vs TP Mazembe..

Sijawahi sikia au kuona eti gari la polisi la maji yale ya kuwasha limechelewa au limefika eneo la tukio likiwa halina maji lakini ni tofauti kabisa na GARI LA ZIMAMOTO ambalo mara nyingi litachelewa au litafika eneo la tukio halafu utaambiwa halina maji.

Kwanini mbinu za Washawasha zisitumike kwa Zimamoto?
Mara nyingi magari ya washawasha yanakuwa standby kwny tukio lolote ambalo linaweza kuleta au kuashiria uvunjifu wa amani!
 
Kuna mtu katoa hoja kwamba gari za washawasha zinakuwa zinajua kwamba kunaweza tokea vurugu ndio maana wanawahi, hiyo kwangu sio hoja nzito, kwani zimamoto hawajui anytime nyumba inaweza kuungua? hiyo sio excuse, kuna wakati nilipita sehemu saa 7 usiku nikakuta wezi wanakata vyuma kwenye nyumba ya mtu, nikapiga simu police na kuwaelekeza, hawakufika maana kesho yake nilipita hapo kuuliza wakasema walifika asubuhi. aUnaweza piga simu police wakakwambia hatuna gari au askari wachache kituoni, ua tutawapigia doria, doria saa nyingine wanafika baada ya tukio. Kwa sasa utakitaka wafike haraka waambie hapa kuna watu wa UKAWA kama 100 wamejikusanya fasta watatia team.
 
Back
Top Bottom