Kwanini mbinu za Washawasha zisitumike kwa Zimamoto?

Kajole

Kajole

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
1,528
Likes
1,398
Points
280
Kajole

Kajole

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
1,528 1,398 280
Jamani habari ya weekend?

Nilikuwa naangalia clip ya mashabiki wa soka walivyokuwa wakilazimisha kuingia uwanjani kuangalia mchezo wa Yanga vs TP Mazembe..

Sijawahi sikia au kuona eti gari la polisi la maji yale ya kuwasha limechelewa au limefika eneo la tukio likiwa halina maji lakini ni tofauti kabisa na GARI LA ZIMAMOTO ambalo mara nyingi litachelewa au litafika eneo la tukio halafu utaambiwa halina maji.

Kwanini mbinu za Washawasha zisitumike kwa Zimamoto?
 
Kajole

Kajole

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
1,528
Likes
1,398
Points
280
Kajole

Kajole

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
1,528 1,398 280
teh teh! wacha uchokozi
mkuu sichokoz mtu nmejaribu tu kufikir maana dakika chache lile gar lilikuwa eneo la uwanja tena full equiped
 
M

Modleblack

New Member
Joined
Jul 1, 2016
Messages
2
Likes
2
Points
5
M

Modleblack

New Member
Joined Jul 1, 2016
2 2 5
Jamani habari ya weekend?

Nilikuwa naangalia clip ya mashabiki wa soka walivyokuwa wakilazimisha kuingia uwanjani kuangalia mchezo wa Yanga vs TP Mazembe..

Sijawahi sikia au kuona eti gari la polisi la maji yale ya kuwasha limechelewa au limefika eneo la tukio likiwa halina maji lakini ni tofauti kabisa na GARI LA ZIMAMOTO ambalo mara nyingi litachelewa au litafika eneo la tukio halafu utaambiwa halina maji.

Kwanini mbinu za Washawasha zisitumike kwa Zimamoto?
Dah labda itasaidia
 
M

msikivu66

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Messages
253
Likes
118
Points
60
M

msikivu66

JF-Expert Member
Joined May 17, 2015
253 118 60
Hao Washawasha matukio yanayowausu huwa yanajulikana kabla, lakini ajali ya moto Ni ghafla
 
Tyta

Tyta

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Messages
12,824
Likes
2,895
Points
280
Tyta

Tyta

JF-Expert Member
Joined May 21, 2011
12,824 2,895 280
THE FORMER- UNAUNGUZA ''SIRIKALI''
THE LATTER-KANAUNGUA ''KANYUMBA'' KAKO.......
 
M

msikivu66

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Messages
253
Likes
118
Points
60
M

msikivu66

JF-Expert Member
Joined May 17, 2015
253 118 60
umesemaj?,fafanua please
Nadhani huwa inatangazwa kabla kwamba kutakua na mechi ya mpira wa mguu au kesho tuta andamana...hivyo washkaji wa Washawasha awapati shida
 
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,212
Likes
48,013
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,212 48,013 280
Naskia magari ya washawasha yako mengi zaidi ya zimamoto?
 
Saguda47

Saguda47

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Messages
6,061
Likes
6,684
Points
280
Saguda47

Saguda47

JF-Expert Member
Joined May 1, 2016
6,061 6,684 280
Naskia magari ya washawasha yako mengi zaidi ya zimamoto?
Unaskia toka kwa nani? Kuwa mwanaume ni pamoja na kujiepusha na umbea kama huo wa kusikia mambo na kuripoti bila kuchunguza
 
K

kajagajigo

Member
Joined
Aug 17, 2015
Messages
6
Likes
2
Points
5
K

kajagajigo

Member
Joined Aug 17, 2015
6 2 5
Tatizo watu wanachukulia poa magari ya zimamoto yaan gar linaweza likawa linapiga kin'gora lkn watu hawapishi lkn likiwa linapita washawasha wanapisha bila shurut pia nimefuatilia na kugundua kuwa Yale magar ya zimamoto yana mtambo wa kurusha maji " pump" hvyo ile pump ukiweka pressure kubwa maji hayakai kabisa na magar mengi bongo ya fire ni lt 7000 so unaweza kuta ukatumia maji hayo ndan ya Dk 20 ndo maana watu wanasema wamekuja na maji kidogo na changamoto za maji mnazi jua sasa wap wanaenda kupata maji mengne ya haraka
 
Mbalamwezi1

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Messages
1,820
Likes
1,428
Points
280
Mbalamwezi1

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2013
1,820 1,428 280
Jamani habari ya weekend?

Nilikuwa naangalia clip ya mashabiki wa soka walivyokuwa wakilazimisha kuingia uwanjani kuangalia mchezo wa Yanga vs TP Mazembe..

Sijawahi sikia au kuona eti gari la polisi la maji yale ya kuwasha limechelewa au limefika eneo la tukio likiwa halina maji lakini ni tofauti kabisa na GARI LA ZIMAMOTO ambalo mara nyingi litachelewa au litafika eneo la tukio halafu utaambiwa halina maji.

Kwanini mbinu za Washawasha zisitumike kwa Zimamoto?
Mara nyingi magari ya washawasha yanakuwa standby kwny tukio lolote ambalo linaweza kuleta au kuashiria uvunjifu wa amani!
 
M

Mkata Mtaa

Senior Member
Joined
Jun 10, 2016
Messages
136
Likes
137
Points
60
M

Mkata Mtaa

Senior Member
Joined Jun 10, 2016
136 137 60
Kuna mtu katoa hoja kwamba gari za washawasha zinakuwa zinajua kwamba kunaweza tokea vurugu ndio maana wanawahi, hiyo kwangu sio hoja nzito, kwani zimamoto hawajui anytime nyumba inaweza kuungua? hiyo sio excuse, kuna wakati nilipita sehemu saa 7 usiku nikakuta wezi wanakata vyuma kwenye nyumba ya mtu, nikapiga simu police na kuwaelekeza, hawakufika maana kesho yake nilipita hapo kuuliza wakasema walifika asubuhi. aUnaweza piga simu police wakakwambia hatuna gari au askari wachache kituoni, ua tutawapigia doria, doria saa nyingine wanafika baada ya tukio. Kwa sasa utakitaka wafike haraka waambie hapa kuna watu wa UKAWA kama 100 wamejikusanya fasta watatia team.
 
NAKEMBETWA

NAKEMBETWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2012
Messages
3,437
Likes
2,471
Points
280
NAKEMBETWA

NAKEMBETWA

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2012
3,437 2,471 280
Halaf wako kwenye wizara moja sasa
 
Forum statistics

Threads 1,239,203
Members 476,441
Posts 29,345,577