KWANINI MAWAZIRI WASICHUNGUZWE

kukumdogo

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
2,867
2,746
Kamekuwa na tabia ya kutumbua wafanyakazi ambao wanaonekana kuwa na maendeleo zaidi ya wengine. Kisingizio ni kumiliki Mali nyingi. Lakini kunamawaziri wanamiliki majumba na apartment nyingi tu mbona wao hawaguswi. nikichukia zaidi nitaweka majina na apartments wanazomiliki.
 
Back
Top Bottom