Kwanini mawaziri wanataja familia zao bungeni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini mawaziri wanataja familia zao bungeni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Jul 21, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  namshangaa sana huyu waziri Malima kwa kuchukua muda mrefu kutaja familiya yake baba yake mama yake mke wake watoto wajomba marafiki,hivi muda huo anaupata wapi na anatakiwa atoe taarifa bungeni??hivi tutabadilika lini sisi??mbona tunazidi kupotezeana muda kijinga hivyo??
   
 2. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  ana watoto zaidi ya kumi!
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  ndio maana rwanda wanatuzidi kwa maendeleo!hatuna viongozi tanzania!watoto 10 halafu huyo huyo anahubiri family plan
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  sasa watoto kumi anataja wote bungeni badala ya kufanya kazi iliyomleta??kazi tunayo
   
 5. NEGLIGIBLE

  NEGLIGIBLE JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  ishu siyo malima tu kuitambulisha familia yake kubwa,ila nadhani ishu ni kwa nini wabunge,mawaziri wanatumia muda vibaya kutambulisha familia zao,kupongeza kwa kuteuliwa kwao/kuchaguliwa kwao,kutambulisha wafuasi wa vyama vyao bungeni,kuongelea mambo ya simba na yanga very eleborative bungeni,kutoa pole kwa misiba ya ndugu za wabunge/mawaziri wakati pole hizo wangeweza kuzitoa kwa wahusika ambao wako nao hapo bungeni...................halafu wakati wa kuongelea mambo ya msingi yaliyowapeleka bungeni wanalalamika bila hata aibu eti muda hautoshi,i think something must be done..............hebu tujaribu kuthaminisha kila dakika moja ambapo bunge linakaa ni gharama gani zinatumika,of course ni millions of shillings.....ambazo tungeweza kuzitumia kwa vitu vingi vya msingi badala ya kuzitumia kulipia gharama kwa watu ambao wanatumia muda kupiga porojo zisizokuwa na masilahi kwa taifa.yes, ishu siyo malima,kwa sababu majuzi nilimsikia mbunge wa chadema,somebody thelathini,akipongeza watu kibao ambao walimsaidia kwa namna moja au nyingine alipopata ajali,alitumia karibu muda wote aliopewa kutoa pongezi,watu ambao alikuwa anawapa pongezi huwa yuko nao karibu kwa namna moja au nyingine,kwa nini sasa atumie muda wote aliotumia kwa gharama za kodi zetu kuongelea mambo yasiyo ya kitaifa ................tunapozungumzia maslahi ya kitaifa tusiwa biased,kama kuna tatizo tunatakiwa kuliadress the way lilivyo,sio kwa sababu mbunge wa chama fulani ndio mlalamilkiwa...............
   
 6. k

  kubenafrank Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  He is another lunatic altogether
   
 7. O

  Original JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wivu wa kijinga ulitaka kutajwa wewe?.
   
 8. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kiongozi anajisifia kuwa na watoto kumi na wake watatu! Ni umalaya tu unawazidi. Ni mtu mzinzi tu, anaona sifa kutaja wake zangu wa 3 watoto kumi!
   
 9. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Malima yaonyesha anakunyima usingizi sana, Mbowe na cdm wasemaji wote hufanya hivyo, ila husemi kwa unazi wako na cdm. Kuwa na nywele kinywaji hakumaanishi unaweza kufikiri
   
 10. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,102
  Likes Received: 1,492
  Trophy Points: 280
  kuna tatizo la kutumia muda kwa wabunge na mawaziri wetu wamegeuza vikao vya bunge kama vikao vya harusi wanapaswa waelewe muda wanaotumia unalipiwa kwa kodi zetu haiwezekani mtu atumie muda wote kuwataja wake zao,watoto,wapiga kura n.k ndio maana mpaka sasa tunaona tatizo la foleni ni kitu cha kawaida
   
 11. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Original - sio suala la wivu (wivu ni neno linaotumiwa vibaya na watu wasiotaka kuwajibika au those who do not want to get out of the box). Kila dakika ambayo mbunge yuko Bungeni analipwa kutoka kodi za walipa kodi (na wewe ukiwa mmojawapo) ili azungumze/jadili masuala yanayohusu taifa. Familia ni suala la binafsi. Kutumia muda anaolipwa na pesa za walipakodi kuzungumzia masuala binafsi ni UFISADI. Tukitoka nje ya kasha, tunaweza kuanza kujenga utamaduni unaothamini na kutathmini muda iwe ni bungeni, ofisini, au katika shughuli yo yote ile ambayo mhusika amekabidhiwa dhamana na umma. Sio wivu, bali ni mtazamo muafaka ya kuanza kubadili utamaduni.
   
Loading...