Kwanini Maulid Kitenge na Sports Arena yake ya Wasafi FM hawayaongelei haya yanayoendelea Yanga SC?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,383
108,441
1. Nidhamu mbovu ya Wachezaji Watatu Lamine Moro, Metacha Mnata na Michael Sarpong huku wengine wakipigana, kurogana hadharani na hata kutukanana.

2. Tabia mbaya ya Usodoma na Ugomola aliyonayo Kocha Mmoja kutokea kwa Wakikuyu iliyomkera Kipa Metacha.

3. Mwenyekiti Msolla na Injinia Hersi Kununiana Wiki ya Tatu sasa kutokana na Mapato ya Klabu kuhusiana na Uuzaji wa Jezi kutoonekana.

4. Karibia 95% ya Wachezaji wa Yanga SC kutomkubali Kocha Nabi na kutaka Mwambusi na ama Zahera au Kaze warejeshwe.

Tafadhali Maulid Kitenge na Yusuph Mkule wa Sports Arena ya Wasafi FM mnataka kusema haya Mambo yanayoendelea huko Kwenu Yanga SC hamyajui?

Basi kutokana na Unafiki wenu na kujifanya mnayafuatilia zaidi ya Simba SC leo GENTAMYCINE nimewapeni yanayoendelea katika Timu mnayoipenda ya Yanga SC hivyo anzeni pia Kuyasemea tena kwa kuyapa ' airtime ' kubwa kama mfanyavyo kwa Simba SC sawa?
 
Wanatumika hao hawana jipya, wanajua kuisema Simba tu vibaya, wakati kwao ndio hovyo kabisa, hilo la usodoma ndio balaa kabisa jipya kwangu, ila la kununiana Hersi na Msola plus utovu wa nidhamu wa kina Sarpong na Lamine hayo yanafahamika wazi.
 
Leo nimeamini gentamicin king'amuzi hakisomi kadi, nilikuwa nasikia tu.
Juzi ulikuja na ushauri kwa viongozi wako was Simba waende kuvishitaki vilabu wakati hats wewe unaweza.
Leo umekuja na bangi kilo nzima!!!!
Mbona umeniquote mimi?
 
Yanga ni kama Ndanda Kuchele kwa sasa...Haitampa kiki ya kusikika nchi nzima
 
Issues za kupigwa tikitaka wachezaji nimezisikia sana kiasi cha wengine kuonesha utovu wa nidhamu. Nasikia chanzo cha ndama molinga kutemwa ni kugoma kutoa choo.
Huyo Kocha Razak Siwa ni Mdau mno tu.
 
Back
Top Bottom