chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,720
Historia
Mnamo mwaka 1938, mwanafizikia wa Kiitaliano Enrico Fermi na washirika waligundua fission ya nyuklia. Waligundua kuwa fission inapofanyika kipindi wakati kiini cha atomiki cha urani-235 kinapigwa na nyutroni, hugawanyika katika viini viwili vya umati sawa sawa.
Kitu chengine pale inapogawinyika utoa Vyanzo vingine kwa jina radiografia isiyo ya kawaida ambayo uzaa Rubidium,strontium,xenon,bromine,lanthanum na cesium-137 (Cs-137) ambayo ni mependekeza kwanza, lakini hizi zote nilizotaja hutengenezwa kwa njia tofauti kabisa inayojulikana kama fission.
Fisiion inaweza kutenganisha nyuklia na kumefafanua kuwa ina weza kugawanyisha kiini cha atomiki ndani ya viini viwili vidogo vyenye uzito sawa, unaojulikana katikati. Sehemu za mass number 90 na yenye idadi ya atomiki kubwa zaidi ya vinaweza kugawanyika. Kama matokeo ya fission, ya naweza kuzalisha nishati , kuzalisha neutroni kwa utengenezaji wa radioisotopes, na kutoa bidhaa kama mchoro nilizozitaja hapo juu kupitia fission. Katika uranium kwenye atomi inaonesha kuwa kiini kisicho na utulivu.
Wakati mmenyuko wa urani-235, kiini hupigwa na nyutroni, ambayo husababisha vipande vya utengamano wa kiini cha bariamu-141, na kiini cha krypton-92. Kwa kuongezea, nyutroni tatu hutolewa (nyutroni ya awali ya risasi, na nyutroni mbili kutoka kwa kiini cha U-235) pamoja na nguvu.
Nitaendelea maana ni kazi sana
Njoo tujadili
Wanazengo