kwanini matangazo mengi ya biashara kwenye tv na redio yanatumia lafudhi ya kichaga.

sababu ni ukubwa na umaarufu wa kabila,,wachaga,wahaya,wamasai nk;;;pili ni miongoni mwa makabila ambayo hayakupoteza uhasilia wake mpaka leo hivyo huleta mvuto kwa watazamaji na wasikilizaji...mwisho ni makabila yaliojikita kwenye biashara na ndo hasa nia ya matangazo hayo ilipo

Kuwa muwazi mkuu, wachaga hatujapoteza asili yetu kivipi? una uhakika bado tunafanya barter trade na kuabudu miungu? Hebu tuambie ni kabila lipi hapa Tanzania ambalo limepoteza asili yake???
 
ndo lafudhi pekee yenye swaga hapa tz.hata ukienda pakistani,romania,ugoslavia,nantumbo,nanjirinji,matombo,kiembenkumba wanaijua.but ukionge lafudh nyingine hueleweki ww ni wa taifa gani.
 
Hata mimi hua inanishangaza kwa mfano huku kitaani badala ya kutamka neno dukani hua wanasema KWA MANGI
Tatizo la hawa jamaa zetu mawazo yao wote ni kwenye noti tu, kila wakati
 
eti wanatudharua sisi na wamasai, yaani tumekuwa km kituko fulani au kivutio fulani au washamba fulani au kichekesho ful
 
Nyie wazaramo mmebaki kubana pua na kujifanya mnongea kama kina nelly ushamba mtupu, ndio mana wachaga na swaga zao wanakula tenda
 
"Nilimtumia mzee mroso elfu 30 kwa airtel money akaipata yote,angekatwa,pangechimbika aisee"Tanzania bila chaga haiwezekani.
 
Back
Top Bottom