matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,570
- 15,319
Tukubali Waislam wametokana na Waarabu, watu ambao katika list ya utajiri duniani hawapo sana. Wakristo asili yetu wengi ni Ulaya na Marekani ambako ndiko wabobezi wa utajiri wako huko. Sasa kinachonishangaza licha ya yote sielewi kwa ñini nchi yetu matajiri wengi wakubwa, watoa misaada wengi ni Waislam kuliko Wakristo?
Mifano hai:
1: Matajiri 10 wakuu nchini Mkristo alikuwa ni Hayati Mengi tu 2019, Tisa wote ni Waislam.
2: Muislam mmoja anaweza kujenga nyumba ya ibada peke yake ila Wakristo kutokea ulaya watachangishana hata kama kunabilionea na yeye atatoa kamchango hata kama anauwezo wa kujenga akakabidhi ufunguo.
3: Ukiangalia siku za sikukuu za Waislam misaada hutolewa ya kufa mtu kulinganisha na sisi Wakristo kusaidia wahitaji.
Wakuu, tunafeli wapi?
Nimepata wazo hili nilipokuwa nikijilimia kishamba changu huku mtaa flani jijini Dar es Salaam, nikasema haiwezekani ngoja ma-great thinkers tusaidiane kutafakari nini tatizo.