Kwanini marais wastaafu wawe wakuu wa vyuo?

Ruyama

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
367
561
Kuna watu wengi nafikiri wanaweza kuteuliwa hizo nafasi, kwanini hawa marais wasipumzike na kutoa ushauri wa mambo mbali mbali?
 
Hujui Mwinyi ni mkuu wa chuo Muhas? JK udsm
Ndio nasikia kwako

Anyway alie nacho ataongezewa na asiekuwa nacho hata hiko kidogo atapokonywa.

Unataka tumpe Ben Kinyaiya pesa zote ziishie kwenye kujipodoa? Na kujikarabati rangi na shape sio
 
Hata wenyeviti wa ma baraza ya vyuo. Ni vyombo muhimu chenye kufanya maamuzi mazito sana.

Mzee Jaji mstaafu anasinzia kwenye vikao. Watu wanamburuza kufanya yao.
 
Ndo nasikia kwako

Anyway alie nacho ataongezewa na asiekuwa nacho hata hiko kidogo atapokonywa.

U nataka tumpe Ben kinyaiya pesa zote ziishie kwenye kujipodoa? Na kujikarabati rangi NA shape sio
Ng'ombe wa masikini hazai
 
Yaani Magufuli naye akistaafu apewe ukuu wa Chuo. Hawa marais wastaafu wangekaa kando hizo nafasi wapewe watu wengine.
 
Hizi nafasi ni ceremonial na hata kipato chake kwa mwaka hakifiki 6m

Nafasi hizi hazina Mishahara kama vile Wenyeviti wa bodi

Kwa Mwaka kuna statury meeting 4 na kila kikao posho haifiki 2m

Nafasi hizi wanapewa kwa sababu za kisiasa za kuwafanya wawe karibu na vyuo kwa kuwa vyuoni ndio chimbuko la Siasa za kupinga watawala
Yaani jiwe naye akistaafu apewe ukuu wa Chuo. Hawa marais wastaafu wangekaa kando hizo nafasi wapewe watu wengine.
 
Hizi nafasi ni ceremonial na hata kipato chake kwa mwaka hakifiki 6m

Nafasi hizi hazina Mishahara kama vile Wenyeviti wa bodi

Kwa Mwaka kuna statury meeting 4 na kila kikao posho haifiki 2m

Nafasi hizi wanapewa kwa sababu za kisiasa za kuwafanya wawe karibu na vyuo kwa kuwa vyuoni ndio chimbuko la Siasa za kupinga watawala

Khasante sana mkuu kwa maelezo yaliyoshiba na mimi nimegundua kitu kutoka kwenye ujumbe wako.
 
Utopolo huu uko hapa Bongo tu. Sijawahi kuusikia kwingine kokote...

Watu wana posho za kutosha na wanatunzwa na kufanyiwa kila kitu na serikali wao na wake zao mpaka watakapokufa lakini bado wanapewa ulaji...

Ila mkuu nahisi kwenye hili kidogo mh.Magu na utaratibu wa Hili Swala hawajakosea... Kuendesha tasisi kubwa kama hizi nahisi inaitaji mtu amaaye kidogo keshaongiza Taifa....
 
Back
Top Bottom