Kwanini Marais Nyerere, Mwinyi na Mkapa walikuwa hawakohoi Wakihutubia, kama ilivyo kwa Marais Kikwete, Magufuli na Samia?

Kazi na kitabu vmentinga mkuu acha kabisa
Unaitafuta sasa Doctorate ya Ujasusi ( Unjagu ) baada ya kuwa na Masters Degree zako kadhaa?

Hongereni mnaosoma na wenye Elimu zenu Sisi wengine tumeishia zetu tu Darasa la Saba na tupo tupo tu.
 
Unaitafuta sasa Doctorate ya Ujasusi ( Unjagu ) baada ya kuwa na Masters Degree zako kadhaa?

Hongereni mnaosoma na wenye Elimu zenu Sisi wengine tumeishia zetu tu Darasa la Saba na tupo tupo tu.
Ujasusi na unjagu ndo nini aisee
 
Wenye Dawa ya Kunisaidia GENTAMYCINE niache Kudadisi sana mambo Magumu, Mazito na ya Siri ( ndani kabisa ) nipeni tafadhali.

Nimeangalia Hotuba za Marais Nyerere, Mwinyi na Mkapa sijawahi kuona popote walipokuwa ' Wakihutubia ' walipatwa na Changamoto ya ' Kukohoa ' hata kidogo tu.

Nimeangalia Hotuba za Marais Kikwete, Magufuli na hata Samia na Kugundua kuwa kila ' Wakihutubia ' basi hupatwa mno na Changamoto ya ' Kukohoa ' tena sana tu.

Nimewaza mengi mno juu ya ' Kukohoa ' Kwao hivi na sijapata Majibu na badala yake imenilazimu tu ili kutoliwaza sana hili nitafute Wimbo wowote wa Congo DR ambao " Dally Kimoko " amelikung'uta vilivyo Gitaa lake zuri la Solo niburudike.

Nadhani (sina uhakika) sababu kubwa ni kuwa Nyerere, Mwinyi na Mkapa hawakua na hypertension wakati wakiwa madarakani, tofauti na hao wengine unaohoji. Madawa ya hypertension hufanya watu kukohoa; kwa hiyo hao unaohoji kuna wasiwasi kuwa wana hypertension na wanatumia madawa ambayo yatawafanya wakohoe.
 
Haaa haaaa haaaa najibu Kwa mfano kama Yesu. MH kikwete aliulizwa kama zike pesa za Rugemalila ni za serikali alikohoa hadi akaletewa duramu ya maji kabla ya kujaribu kujibu swali lilivyokuwa matata
 
Back
Top Bottom