Kwanini marafiki wakubwa ndio uwa maadui wakubwa hasa wanawake...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini marafiki wakubwa ndio uwa maadui wakubwa hasa wanawake...?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by only83, Mar 8, 2012.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  ......Kwa wale wakristo wanafahamu kuna andiko kwenye Biblia linasema adui yako ni yule wa nyumbani mwako..Nilikuwa sielewi vyema msingi wa hili andiko..

  Lakini siku za karibuni nimeona wasichana wawili waliokuwa marafiki mpaka wakaanza kufanana kwa sura na hata kuvaa nguo sare sasa wamekuwa maadui kama paka na panya...

  Na sababu ni za matatizo ambayo yanaweza kutatulika..ni kutofautiana kwa kauli dhidi yao..Nimejaribu kuwasuluhisha lakini wapi.Huu ni mfano mmoja lakini mara nyingi marafiki ndio wanajenga uadui kwanini?

  Nashindwa kuelewa sayansi iliyopo hapa..Maana nilitegemea kuwa marafiki ndio wanaweza kumaliza tofauti zao kirahisi kitu ambacho hakitokei kwa ulimwengu wa leo.
   
Loading...