Kwanini mara zote MAN UNITED ikifungwa game inaenda mpaka Dk 100 ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,363
217,402
Inakuwa kweli ni dk za majeruhi ama labda ni mbinu za waamuzi kutaka timu ' yao ' ichomoe ?

Haiwezekani timu moja kila ikifungwa dk za majeruhi ziwe kibao ! Hapa kuna walakini .
 
J
kama man u inafungwa na timu iliyopanda daraja,Je ikikutana na timu ya vikombe vyote ulaya aka MAN CITY itakuwaje?
Kwenye mpira 1+2 jibu linaweza kuwa lolote zaidi ya kuwa 3 kama hitaji la arithmetic iliyoko hapo juu linavyotaka.
 
Timu za namna hiyo ziko kila ligi, sasa sijui ni waamuzi wanakuwa wamebet au la. Iliniuma sana kwa Mtibwa 'kuporwa' ushindi dakika za mwamuzi wiki iliyopita.

Taratibu Za Kisheria Zipo Wazi!! Kama Unaumia Simba Kutokufungwa Ungelikata Rufaa.
Chaneta FC bhana! Hata yasiyowahusu yana wawasha...
 
Labda refa anajaribu kuwabeba kwenye dakika za majeruhi :):)

Inakuwa kweli ni dk za majeruhi ama labda ni mbinu za waamuzi kutaka timu ' yao ' ichomoe ?

Haiwezekani timu moja kila ikifungwa dk za majeruhi ziwe kibao ! Hapa kuna walakini .
 
Inakuwa kweli ni dk za majeruhi ama labda ni mbinu za waamuzi kutaka timu ' yao ' ichomoe ?

Haiwezekani timu moja kila ikifungwa dk za majeruhi ziwe kibao ! Hapa kuna walakini .

Mzee wa kulalamika on freak mbona man city alivyopewa dkk 100 na burnley hukuleta uzi hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom